Wanahangaika kutii ya sheria ya hifadhi ya barabara kwa kubomoa majengo kwa sheria ambayo akina Butiku wanaishangaa!Nguvu hizo wanazotumia kutii sheria tata wangezitumia kutatua tatizo la ukosefu wa umeme kwao ni kero!

Cha kushangaza kuna watu tena wenye akili timamu wanaungana na haya mambo kwa kutuaminisha ccm imezaliwa upya,sijui kwa lipi.
 
Itabidi Kikwete arudi madarakani fasta.huyu wa sasahivi haeleweki.kilakitu anasema yeye amesema,yeye hajibiwi hivo,sasa aondoke,JK arudie kazi yake.
 
Mimi ni mkazi wa chanika zogoali sio mbali kutikea chamika standi au ume ulipo ishia natakilibani miaka miwili nilipo mpaka sasa umeme hauja fika na majina yaliandikishwa kwa wale tunao hitaji umeme mpaka sasa hakuna maendeleo yoyote . sijui mtatusaidia vipi.
 
Punguza mapenzi, toka lini serikali inasema mradi flani ukuliaaza kufanya kazi mgao itakuwa historia?
 
Je wale walioambiwa waandike barua pale umeme ukikatika wamechukuliwa hatua gani? but why wanasiasa wanapenda kutoa kauli ambazo hawatekelezi?
Tatizo la kitaalamu suluhu yake inapaswa kuwa ya kitaalam, na tatizo la kisiasa suluhu yake ipatikane kisiasa. Ukijichanganya hapo issue ya kitaalamu ukaisolve kisiasa ni shida.
 
Mimi kuna mambo mengi naweza kuvumilia lakini ili la umeme limenishinda. Mtu akisema twende barabarani NAKWENDA.
 

Stupid people like you are still alive. Nani alikudanganya maendeleo utapata kupitia chama.

Nani alikwambia tz haitakuwa na majanga. Hivi Kwa lugha Kama zako. Wewe huwezi Kama mfanyakazi kuhujumu mitambo. Kama midomo na akili yako imeisha hapo Heri tumia viungo Vingine kuongea
 
Mkuu tangu CCM wapewe nchi ni miaka mingapi imepita?
 
Hata LéoArusha baadhi ya maeneo km maji ya chai, Usa river hakuna Umeme
 
Kuna taarifa yoyote rasmi kwa umma ili tujue tatizo ni nini?!! Where's transparency hapa?! Usimlaumu mtu kuandika alichoandika Kwani hakuna taarifa yoyote. Very annoying. Kuna nini?!!! Nammiss Prof Muhongo.
 
ndiyo sababu ya kukosa umeme? na tra wako palepale kudai kodi bila huruma.
 
Tena Kwa sasa limezid Bora alikuwepo mkurugenzi wa kwanz
Ni vigumu sana kufuta LEGACY ya Prof. Muhongo kwenye utendaji wa Wizara iliyoitwa ya NISHATI NA MADINI. Katika uongozi wake figisu za mgao wa umeme ziliisha na kasi ya kusambaza huo umeme vijijini ilikuwa SUPER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…