Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu niongo ulitukuka, miaka 2 anateua hajapata hao wazuri?JPM bado amezungukwa na watu wasiowajibika,wanaojificha nyuma ya mgongo wa chama
Punguza mapenzi, toka lini serikali inasema mradi flani ukuliaaza kufanya kazi mgao itakuwa historia?MAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
Sio arusha tu,mwanza kila siku umeme unakatwa Saa 2 asubuhi hadi 12 jioni zaidi ya wiki sasaNasikia Arusha umeme wanausikia redioni
Tatizo la kitaalamu suluhu yake inapaswa kuwa ya kitaalam, na tatizo la kisiasa suluhu yake ipatikane kisiasa. Ukijichanganya hapo issue ya kitaalamu ukaisolve kisiasa ni shida.Je wale walioambiwa waandike barua pale umeme ukikatika wamechukuliwa hatua gani? but why wanasiasa wanapenda kutoa kauli ambazo hawatekelezi?
CCM taifa hili limewashida hakuna jipya zaidi ya kuudanganya umma kua mnapendwa, nakumbuka wakati mnaingia madarakani 2015 mlisena kua matatizo sugu kama ya Umeme yatakua historia kwa uwepo wa basi kutoka Mtwara. Sasahihi ni mgao wa Umeme kimya kimya nchi nzima bila hata taarifa tofauti na zamani. Mnaogopa nini kuutangazia umma kua kuna mgao wa Umeme? Mnajua mnawaathiri vipi wananchi na biashara zao? Si bora mtu awe na raarifa ili aweke Sola au jrnereta kabisa kuliko usanii huu?
Mliingia kwa mbwembwe mkatimua Mkurugenzi mkuu wa TANESCO kwa madai kua anahujumu shirika, leo hii yapata miaka miwili serikali ya awamu ya 5 iko madarakani lakini matatizo ya Umeme yako pale pale, usanii mtupu. Mnashindwa nini kusema kua hali ni tete mkaeleweka? Kwanini mtaabishe wafanya biashara bila sababu hata hatuelewi nini kinaendelea.
Niulize, hayo mambo makubwa yanayofanywa ni yapi? Kufuta elfu 20 za ada za sekondari? Mambo makubwa ni kunyanyasa watumishi wa umma ambao hawapati stahiki zao kwa hadaa za nyongeza kiduchu cha mishahara?
Naamini, bila CCM kuondoka madarakani wananchi wataendelea kuteseka maisha yao yote huku wachache wakiendelea kuneemeka maisha yao yote.
Mkuu tangu CCM wapewe nchi ni miaka mingapi imepita?MAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
Kuna taarifa yoyote rasmi kwa umma ili tujue tatizo ni nini?!! Where's transparency hapa?! Usimlaumu mtu kuandika alichoandika Kwani hakuna taarifa yoyote. Very annoying. Kuna nini?!!! Nammiss Prof Muhongo.MAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
ndiyo sababu ya kukosa umeme? na tra wako palepale kudai kodi bila huruma.MAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
ivyo viwanda vinatumia majenereta mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu anakwamishwa vipi wakati msanii Charles mwijage kaeleza tumejenga viwanda 3006?
na kweli kabisaHakuna anae wachagua mkuu..
Wanajimilikisha tu.
Ni vigumu sana kufuta LEGACY ya Prof. Muhongo kwenye utendaji wa Wizara iliyoitwa ya NISHATI NA MADINI. Katika uongozi wake figisu za mgao wa umeme ziliisha na kasi ya kusambaza huo umeme vijijini ilikuwa SUPER.Tena Kwa sasa limezid Bora alikuwepo mkurugenzi wa kwanz