kali popote
JF-Expert Member
- May 3, 2017
- 394
- 281
Umeme umerejea tinao,ba radhi sana mkuuTanesco mmeshachukua umeme wenu wa mawazo saizi tumelala viyoyozi vimezima kuna tatizo gani usiku huu mpaka mmeamua kukata umeme????
Tupo huku toangoma nyumbani kwa mh majaliwa eneo lote la TOANGOMA ni giza kuna tatizo gani?
Turudishieni umeme mnatusumbua kila siku usiku ndio mnakata why?
Leo nasubiri nione kama hamjarudisha namjulisha Mh majaliwa ili awashughulikie.
EneoUtanipata kwa kupitia
Mji mdogo Wa Ngerengere
Nguzo husika in ya 4 kutoka kituo cha Afya Ngerengere kwa line inayotoka substation . nakupeleka umeme kituo cha Afya na Manisa katoliki .hii nguzo IPO mbele ya duka la madawa A man na Guest house mpya ijulikanayo kwa jina la MASURURA
Inatakiwa asubiri miezi mtatu Kama bado hawajamrudishia majibu aende Tena kwenye ofisi aliyopeleka maombi Yake akaulize Tena,wakati mwingine tanesco huwa wanabanwa na shughuli nyingi ikiwamo kishughulikia hayo maombi kwa kuyafanyia tathiminiWadau habarini kuna mdau ameomba asaidiwe jambo hili na ninyi hapa jamvini nami na mnukuu nimekamilisha taratibu zote inavyotakiwa kwa ajili ya kuingiziwa umeme ndani ya nyumba na fomu yao nilishawarudishia tanesco wenyewe kwa ajili ya tathmini ya malipo (bado sijalipa fedha ingawa nimeshajipanga ninazo) cha ajabu ni mwezi sasa unaisha na bado sijarudishiwa majibu ya kiasi nachotakiwa kulipa kulingana na vipimo alivyokwisha pima survey...... Wadau nisaidieni nifanyaje ili niweze kusaidiwa hiyo shughuli na je ni kweli tathmini huwaga inachukua muda hivi?
Ni kweli hawa watu wanataka kifatiliwa sana uwe unatiinga ofisin kwao kila mara kuwaskilizia sio kukaa kimya usubiri wao wakutafute itakula kwakoNenda kwenye ofisi zao hilo ni shilika la umma wanafanya kaz kwa kubembelezwa
...sio mimi!, kuna mtu huko juu...Kwani ya kiwi TANESCO si ruksa?..Wapi na namba yako ya simu mkuu
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOTANESCO HIVI NYIE NI WA MJINI TU AU HATA VIJIJINI?
KIBOSHO HAKUNA UMEME TOKA SAA 4 ASUBUHI NA HATUJUI TATIZO NI NN? NAOMBA MAJIBUMFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA................................
2.SIMU...............................
3.MKOA.............................
4.WILAYA..........................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
*Zingatia*
-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme
-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme
-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"