TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Wadau habarini kuna mdau ameomba asaidiwe jambo hili na ninyi hapa jamvini nami na mnukuu nimekamilisha taratibu zote inavyotakiwa kwa ajili ya kuingiziwa umeme ndani ya nyumba na fomu yao nilishawarudishia tanesco wenyewe kwa ajili ya tathmini ya malipo (bado sijalipa fedha ingawa nimeshajipanga ninazo) cha ajabu ni mwezi sasa unaisha na bado sijarudishiwa majibu ya kiasi nachotakiwa kulipa kulingana na vipimo alivyokwisha pima survey......

Wadau nisaidieni nifanyaje ili niweze kusaidiwa hiyo shughuli na je ni kweli tathmini huwaga inachukua muda hivi?
 
nenda ofisini kaulize ofisini kwao utasaidiwa hapa hujaweka details zako ulipo nk huwezi saidiwa
 
Mkuu leo nimenunua umeme kwa tigo pesa toka saa 11. 27 asb hadi muda huu sijapata unit, meter namba 37135306076 wa shs 14000 kumbukumbu 60423469867. Kuna tatizo gani?
4803 6695 4247 7094 2889
 
Tanesco mmeshachukua umeme wenu wa mawazo saizi tumelala viyoyozi vimezima kuna tatizo gani usiku huu mpaka mmeamua kukata umeme????
Tupo huku toangoma nyumbani kwa mh majaliwa eneo lote la TOANGOMA ni giza kuna tatizo gani?
Turudishieni umeme mnatusumbua kila siku usiku ndio mnakata why?
Leo nasubiri nione kama hamjarudisha namjulisha Mh majaliwa ili awashughulikie.
Umeme umerejea tinao,ba radhi sana mkuu
 
Utanipata kwa kupitia
Mji mdogo Wa Ngerengere
Nguzo husika in ya 4 kutoka kituo cha Afya Ngerengere kwa line inayotoka substation . nakupeleka umeme kituo cha Afya na Manisa katoliki .hii nguzo IPO mbele ya duka la madawa A man na Guest house mpya ijulikanayo kwa jina la MASURURA
Eneo
Namba ya simu
Jinsi ya kufika
Tatizo
Tuma hata inbox mkuu
 
Rudi Ofisini
Halafu Waulize Naamini Utapata Ruhusa Ya Kulipa Bank
Halafu Utawapa Bank Slip Nao Watakuwa Wanakupa Risiti Yao Ya Tanesco
 
Inategemea huenda huyo Sarvey alikuwa labda na kazi nyingi za wateja,ivyo nakushauri uwende ukaulizie kumbuka nao ni binadamu
 
Wadau habarini kuna mdau ameomba asaidiwe jambo hili na ninyi hapa jamvini nami na mnukuu nimekamilisha taratibu zote inavyotakiwa kwa ajili ya kuingiziwa umeme ndani ya nyumba na fomu yao nilishawarudishia tanesco wenyewe kwa ajili ya tathmini ya malipo (bado sijalipa fedha ingawa nimeshajipanga ninazo) cha ajabu ni mwezi sasa unaisha na bado sijarudishiwa majibu ya kiasi nachotakiwa kulipa kulingana na vipimo alivyokwisha pima survey...... Wadau nisaidieni nifanyaje ili niweze kusaidiwa hiyo shughuli na je ni kweli tathmini huwaga inachukua muda hivi?
Inatakiwa asubiri miezi mtatu Kama bado hawajamrudishia majibu aende Tena kwenye ofisi aliyopeleka maombi Yake akaulize Tena,wakati mwingine tanesco huwa wanabanwa na shughuli nyingi ikiwamo kishughulikia hayo maombi kwa kuyafanyia tathimini
 
Ukaulize huko ofcn kwao.nawe ujiongeze za kuambiwa changanya na zako....kazi ni nyingi ooooh shauri yako...please hide my I'd
 
Nenda kwenye ofisi zao hilo ni shilika la umma wanafanya kaz kwa kubembelezwa
Ni kweli hawa watu wanataka kifatiliwa sana uwe unatiinga ofisin kwao kila mara kuwaskilizia sio kukaa kimya usubiri wao wakutafute itakula kwako
 
TANESCO HIVI NYIE NI WA MJINI TU AU HATA VIJIJINI?
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
KIBOSHO HAKUNA UMEME TOKA SAA 4 ASUBUHI NA HATUJUI TATIZO NI NN? NAOMBA MAJIBU
 
Back
Top Bottom