kali popote
JF-Expert Member
- May 3, 2017
- 394
- 281
Wadau habarini kuna mdau ameomba asaidiwe jambo hili na ninyi hapa jamvini nami na mnukuu nimekamilisha taratibu zote inavyotakiwa kwa ajili ya kuingiziwa umeme ndani ya nyumba na fomu yao nilishawarudishia tanesco wenyewe kwa ajili ya tathmini ya malipo (bado sijalipa fedha ingawa nimeshajipanga ninazo) cha ajabu ni mwezi sasa unaisha na bado sijarudishiwa majibu ya kiasi nachotakiwa kulipa kulingana na vipimo alivyokwisha pima survey......
Wadau nisaidieni nifanyaje ili niweze kusaidiwa hiyo shughuli na je ni kweli tathmini huwaga inachukua muda hivi?
Wadau nisaidieni nifanyaje ili niweze kusaidiwa hiyo shughuli na je ni kweli tathmini huwaga inachukua muda hivi?