Ajira mnapeana kindugu na kujuana hadi mnakera msiwe mnatangaza muwe mnawaita ndugu na kuwasainisha mikataba regional manager kabisha anasema kapewa maelekezo kutoka rejea ajira za mkoa wa songwe
Taarifa za malalamiko dhidi ya ajira tuma kwa manager muandamizi rasilimali watu , box 9024 tanesco makao makuu, au fika na ushahidi
 
Tafadhali tunaomba ufafanuzi uku kwetu Neruka mtoni kijichi mtaa wa Masangula hakuna umeme toka jana mida ya saa 2:00 usiku hadi hivi sasa.Je hii ni itilafu au mgao? Maana ni muda wa zaidi ya masaa 19 sasa.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Aisee kumbe sikuizi muna kikosi kazi,chenye mamlaka ya kukamata watu?.tunaomba mtueleze kikosi hiki kinafanya kazi hizo kwa kutumia sheria ipi ya nchi?.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Taarifa za malalamiko dhidi ya ajira tuma kwa manager muandamizi rasilimali watu , box 9024 tanesco makao makuu, au fika na ushahidi

Baadhi ya sehemu za mikoa ya Kusini umeme kwa siku unakata na kurudi si chini ya Mara 20 tatizo ni nini, au huku sio Tanzania au Watanzania wa huku sio walipa kodi?

Imekuwa ni kero mno hadi inatia hasira watu wanashindwa kujua hivi huwa kuna kuwa na nini kinachofanya muwe mnakata umeme Mara kwa mara au huku ndio watu wanajifunzia kazi maana imekuwa mazoea na pia mkumbuke mnatia hasara watu vitu vinaungua kizembe sana kwa hii kata rudisha kata rudisha ya umeme.

Halafu kwanini hamuweki namba za simu za ofisi za mikoa ya Kusini?

Tanesco na umeme Kusini ni Kero zaidi ya kero.
 
Tatizo la mkoa wa Lindi na Mtwara tulishalitolea ufafanuzi mpendwa mteja, kuna mashine ilikuwa na hitilafu mpendwa mteja wetu 0684692786 lindi, 0737165087 mtwara
 
Kwenye taratibu za kulipia ili kuunganishiwa umeme mmeandika ni NMB tu lkn kuna mtu ameniambia amelipia CRDB je ni sahihi?
 
Tanesco mnampango wa kutuongezea idadi za unit kwa sisi watumiaji wadogo wa umeme kutoka unit 75 kwa mwezi kwenda 100 au 120!?

Naomba nijibiwe maana hizo 75 sasa ni kidigo sana yaani tunajibana hata friji na taarifa ya habar na episode na thamthilia kwa watoto wetu tunagombana hata hawaoni faida ya kuwa na huu umeme, sasa vyuma ni tatizo ukijiachia unahamishwa kwenda tarif 4 aksanteni kwa ushirikiano wetu.
 
Naomba kujua utaratibu uliotumika kwa watu waliolipia umeme na sasa kuanza kuunganishiwa bila taarifa rasmi kuwafikia wengine.

Kwa sasa baada ya taarifa kusambaa zoezi la malipo limesitishwa hatujui hatma yetu ambao hatukupata taarifa na kulipia.


ahsant.
 
Hahaha wewe ndio umetuambia, kumbe nawe huna taarifa?!
 
Hahaha wanaanza kuyakagua utadhani mmeletewa mapya, au wameanza kutengeneza ya kwao?! Vyuma vimekaza wanataka kuvivunja.
 
nipe taarifa mkuu km unazo
Hata ukiunganishiwa wire umeme haupo, usijisumbue kulalamika, hata waliounganishiwa hawana umeme, labda kama unataka show tu kwenye nyumba yako napo kuna wire za umeme.
 
Haya ya Tanesco unatafuta kutekwa ndugu yangu, hawasemwi hawa siku hizi
 
Aisee mnapenda kukata mno umeme. Sijui maeneo ya Kigamboni na Mbagala yana nini maana kila siku mnachosha sana.
 
Mbona hamjibu kuhusu kupitisha nyaya za umeme mkubwa juu ya nyumba za watu bila idhini yao?

Tafadhalini kama mnahitaji njia busara ni kulipa fidia muachiwe njia
Kama swali gumu kwako tuambie tumulize waziri.
 
Yani huku umeme umekatika sasa miezi tupo gizani transifoma mbovu...kazi ovyo kabisa tanesco kiutendaji bado ubadhilifu mwingi sana..mkuu amechemka hapa
 
Dear Tanesco team

Thanks for assistance kwa mrejesho ni kabla tar 111/02/2018 surveyor alinipigia club na kuja fanya tathmini na makadirio husika na tar 23/02/2018 nilipata sms kuhusu invoice Lusaka

Nina maswali machache kwenu according to REA kuvutiwa umeme.kwa gharama halisi ikiwemo nguzo moja ni TZS 177000 VAT inclusive (vijijini) sasa naomba patiwa maelezo maana nimechargiwa TZS 454700,je gharama iliyozidi nalipia audio nachangia nini?

Thanks
 
nipo ruangwa lindi
tatizo langu unit zipo kwenye luku na pia nimenunua nyingine nikaweka but luku imejilock na sipati umeme ndani
nisaidie
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…