MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOnipo ruangwa lindi
tatizo langu unit zipo kwenye luku na pia nimenunua nyingine nikaweka but luku imejilock na sipati umeme ndani
nisaidie
nipo ruangwa lindi
tatizo langu unit zipo kwenye luku na pia nimenunua nyingine nikaweka but luku imejilock na sipati umeme ndani
nisaidie
Dear Tanesco team
Thanks for assistance kwa mrejesho ni kabla tar 111/02/2018 surveyor alinipigia club na kuja fanya tathmini na makadirio husika na tar 23/02/2018 nilipata sms kuhusu invoice Lusaka
Nina maswali machache kwenu according to REA kuvutiwa umeme.kwa gharama halisi ikiwemo nguzo moja ni TZS 177000 VAT inclusive (vijijini) sasa naomba patiwa maelezo maana nimechargiwa TZS 454700,je gharama iliyozidi nalipia audio nachangia nini?
Thanks
Mchanganuo mzuri kabisa...
nipo ruangwa lindi
tatizo langu unit zipo kwenye luku na pia nimenunua nyingine nikaweka but luku imejilock na sipati umeme ndani
nisaidie
Mchanganuo mzuri kabisa...
naomba kuuliza..je naweza kulipa gharama hii ya REA kuweza kupata huduma hii mapema zaidi bila kumsubiri mkandarasi wa REA? Survey imeshafanyika ila ni mda mrefu sasa waliopata umeme ni wachache sana.
shukrani.
Miradi ya Rea au yeyote ile mteja anapaswa kufanya maandalizi baada ya miundombinu kumfikia kwa kuwa hakuna kinachoweza kuendelea bila miundombinu kuwepo mkuu wetu
Kuna mradi unakuja huko rea peri-urban soon mkuu fanyeni wiring umeme unakujaNipo kijiji kinaitwa mpiji(kibaha) mwaka Jana 2/3/2017 tuliletewa nguzo tukaambiwa umeme unakuja baada yaa miezi miwili zikachukukiwa kwa kigezo kwamba zilikosewa kuletwa pale sisi umeme utafika mwrzi wa 8 /2017 sasa adi sasa hakuna chochote kilicho fanyika zaidi ya kuweka alama tu.je ningependa kujua uku lini utafika mkuu?
Kweli mkuu tumeshafanya wiring kalibiaa wote hivo tunawasubili ninyi tu sijui lini utakuaa umefika uku kwetu mkuuKuna mradi unakuja huko rea peri-urban soon mkuu fanyeni wiring umeme unakuja
Naomba mawazo yenu kwa tatizo hili: natumia unit 8 kutwa.
Nina frigdge moja ndogo, taa energy saver kama 5 zinawaka saa 12 a day, tv mbili zinatumika kama saa 5 a day, . Nadhani unit 8 a day huu ni umeme mwingi ninao tumia.
Tatizo linaweza likawa wapi? Nimeleta fundi akacheki wiring akasema iko vizuri.
Ushauri tafadhali.
Asante
Unaishi sehemu gani mkuu?Mkuu nahitaji umeme wa TANESCO...nilipo kuna mradi wa REA na baadhi ya watu wachache wamewashiwa wengine tukaambiwa tusubiri...imepita mda mrefu hatujatumiwa hata ujumbe kwenda kulipia...naweza kulipa TANESCO nipate huduma hii?
shukrani.
Chanika -DarUnaishi sehemu gani mkuu?
Tunaomba taarifa hata inbox tukufikie mpnendwa mtejaMita yangu 3phase mita namba 43146855093 imegoma kusoma hata balance haionyeshi.pia inadisplay namba tofauti
Zile za mwanzo maana mwanzo ilikuwa inadisplay namba ya mita sasa naona imekuja namba ingine kabisa
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOKaka wakikujibu unitag