Mteja anakatwa vat 18% rea 3% na ewura 1% hakuna makato mengine kwa t1 na d1
NIMENUNUA UMEME WA ELFU 10 NIMEKATWA TIGO PESA TSH 10,110/= NA MESSAGE NIMEPATA MBILI ZA TOKEN,MOJA KUTOKA TIGOPESA NA NYINGINE KUTOKA NAMBA 15200.
 
Waya unaoingiza umeme kutoka kwenye nguzo umeshuka sana, kuna siku walikuja watu wa Tanesco kutengeneza nyumba ya jirani wakaniambia watarudi kuja kunirekebishia mpaka leo hawajafika. Naomba mnisaidie kuja kunirekebishia.

Namba yangu ya mita ni 24214460917 eneo la Toangoma.
Natanguliza shukrani.
 
Mbona mi nimenunua naambiwa...

The value of parameter 66880000 is incorrect. The receiver organization queried by the organization entity ID or short code does not exist.

Sijaelewa kabisa na nina salio la kutosha via mpesa
 
Tumepokea kwa uchunguzi zaidi
 
NIMENUNUA UMEME WA ELFU 10 NIMEKATWA TIGO PESA TSH 10,110/= NA MESSAGE NIMEPATA MBILI ZA TOKEN,MOJA KUTOKA TIGOPESA NA NYINGINE KUTOKA NAMBA 15200.
Tutakupatia maelezo mpendwa mteja wetu
 
Tumepokea taarifa
 
Eneo lako, namba ya simu na namba ya taarifa kama unayo
 
Mbona mi nimenunua naambiwa...

The value of parameter 66880000 is incorrect. The receiver organization queried by the organization entity ID or short code does not exist.

Sijaelewa kabisa na nina salio la kutosha via mpesa
Ndugu mpendwa mteja nunua kwa njia nyingine njia hiyo inafanyiwa kazi
 
Tunafatilia swala lako mpendwa mteja
 
Ni masaa 19 mpk ivi sasa hamna dalili ya umeme kurudi, I guess tunalala giza tena na leo huku Makongo siku ya pili mfululizo, Nchi ya viwanda wananchi wanakaa bila umeme 2days.

Mi ngekuwa waziri wa nishati ngetumbua Tanesco yote afu nieke team mpya! Mvua zikinyesha wanasingizia mvua, labda na leo Jua limezidi-;:!?””’*^_
 
Kwasasa Tunaweza kununua umeme kwakutumia huduma ya mpesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…