TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Yani safari hii ni mnyooko wa nguvu wallah...

Hata hizo machine wengi zitatushinda coz kama kwenye lak1 faida unapata mia5 si tutakaa sana!?

Kwenye cm nako mfano tigopesa ndohivo wanakata na ziada
Wamebànwa sanaaa hawa vendors wengine.

Cha msingi ni kuwa wakala wa moja kwa moja Tanesco ukàwa unauza Token za umeme.
Maxcom na selcom ukawa unatumia tu kulipia bill za maji,vocha n.k.
Zamani kulikuwa na faida kwa kulipia faini za Trafiki .....
 
nimenunua kwa wakala wa Maxcom, mchanganuo upo hv...
100,000.00 (kiasi nilichotoa)
81,065.58 (kiasi kilichonunua)
14,591.80 (vat)
2,431.96 (rea)
810.66 (ewura)
1,100.00 (fee) hiyo ndio nini?
 
Ni ada mpendwa mteja
 
nimenunua kwa wakala wa Maxcom, mchanganuo upo hv...
100,000.00 (kiasi nilichotoa)
81,065.58 (kiasi kilichonunua)
14,591.80 (vat)
2,431.96 (rea)
810.66 (ewura)
1,100.00 (fee) hiyo ndio nini?
Mi nadhani hiyo ni faida wanayogawana kampuni (mfano MaxMalipo) na wakala. Mwanzo ilikuwa ni 6% nadhani na alikuwa anailipa Tanesco kwa makampuni ili yagawane na wakala. Kama unataka usikatwe hiyo 1.1% kanunue kwa vituo vya Tanesco
 
je! utozaji huo ambao Maxcom anamtoza mlaji wa mwisho upo kisheria, shirika linamsaidia vipi mteja wake asilipe hiyo gharama kwasababu mimi ni mteja wa Tanesco mnakubalije hiyo hali.
 
Taarifa ilitolewa na inaendelea kutolewa tutakufikishia mpendwa mteja wetu
Nashukuru kwa kujibu.
Tafadhali, waweza nipatia elimu kwa faida yangu na wengine kuhusu hili suala linalosemekana kuwa kama matumizi yangu ya umeme huwa ni chini ya unit 70 kwa mwezi kuna punguzo la bei ya kununua umeme??
TANESCO.
 
Mi nadhani hiyo ni faida wanayogawana kampuni (mfano MaxMalipo) na wakala. Mwanzo ilikuwa ni 6% nadhani na alikuwa anailipa Tanesco kwa makampuni ili yagawane na wakala. Kama unataka usikatwe hiyo 1.1% kanunue kwa vituo vya Tanesco
Vituo vya Tanesco vipo vingapiii?? Huku nilipo nakijua kimoja ambacho lazima nipande boda boda ya buku
 
Sasa ndio ukubali makampuni kukupa urahisi wa manunuzi kwa kukukata 1.1% badala ya 6% aliyotakiwa kukata kama zamani wakati analipwa na Tanesco
 
Nashukuru kwa kujibu.
Tafadhali, waweza nipatia elimu kwa faida yangu na wengine kuhusu hili suala linalosemekana kuwa kama matumizi yangu ya umeme huwa ni chini ya unit 70 kwa mwezi kuna punguzo la bei ya kununua umeme??
TANESCO.
YAJUE MAKUNDI YA WATUMIAJI WA UMEME NA BEI ZAO

Kuna makundi manne ya watumiaji wa umeme

-D1 (UNIT 0-75) BEI NI TSH 100 KWA UNIT IKIZIDI UNIT 75 INAKUWA TSH 350 (YAANI UMEME WA 9150 KWA MWEZI)

-T1 UNIT zaidi ya 75 to 7500 Bei ni 292 per unit,Hakuna tozo ya kila mwezi

-T2 Gharama kwa mwezi ni 14,233, gharama ya umeme kwa ni 195 kwa unit

T3- M - gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,769 na bei ni tsh 157 kwa unit

T3-gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,550 na bei ni 152 kwa unit

Bei zote ni bila VAT 18% REA 3% na EWURA 1%

Wateja waliopo kundi la D1 yaani matumizi chini ya unit 75 kwa mwezi wanapaswa kununua umeme wa 9150 kwa mwezi ili kubaki kundi hilo endapo watazidi hapo watapelekwa kundi la T1 ambalo pi ni matumizi ya kawaida ya nyumbani.

ZINGATIA: MTEJA AKITOLEWA KUNDI LA D1 KWENDA T1 HARUDISHI TENA KWA MUJIBU WA SHERIA
 
Sasa ndio ukubali makampuni kukupa urahisi wa manunuzi kwa kukukata 1.1% badala ya 6% aliyotakiwa kukata kama zamani wakati analipwa na Tanesco
Sioni tofauti ya hiyo 1.1 From 6% as far as nkinunua umeme wa 5k napata unit 13 ,before it was 14
 
Hiyo 6% ni ipi maana hatukuwa kuwa nayo zaidi ya REA 3% EWURA 1% NA VAT 18%
 
Mmejipangaje kuhakikisha Luku inapatikana kila kona ya mitaa? Wengi wetu tuliopanga bado tungependelea umeme wa risiti kusaidia kutunza kumbukumbu.......
 
Huduma zote zinaendelea kama kawaida
 
YAJUE MAKUNDI YA WATUMIAJI WA UMEME NA BEI ZAO

Kuna makundi manne ya watumiaji wa umeme

-D1 (UNIT 0-75) BEI NI TSH 100 KWA UNIT IKIZIDI UNIT 75 INAKUWA TSH 350 (YAANI UMEME WA 9150 KWA MWEZI)

-T1 UNIT zaidi ya 75 to 7500 Bei ni 292 per unit,Hakuna tozo ya kila mwezi

-T2 Gharama kwa mwezi ni 14,233, gharama ya umeme kwa ni 195 kwa unit

T3- M - gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,769 na bei ni tsh 157 kwa unit

T3-gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,550 na bei ni 152 kwa unit

Bei zote ni bila VAT 18% REA 3% na EWURA 1%

Wateja waliopo kundi la D1 yaani matumizi chini ya unit 75 kwa mwezi wanapaswa kununua umeme wa 9150 kwa mwezi ili kubaki kundi hilo endapo watazidi hapo watapelekwa kundi la T1 ambalo pi ni matumizi ya kawaida ya nyumbani.

ZINGATIA: MTEJA AKITOLEWA KUNDI LA D1 KWENDA T1 HARUDISHI TENA KWA MUJIBU WA SHERIA
Shukrani.
Inapendeza sana mkiwa INTERACTIVE kiasi hiki.
 
Huduma zote zinaendelea kama kawaida
Wakala wa mtaa wetu amesitisha huduma...anasema hapati tena faida,from 2.5 to 0.5 profit, yaani akiuza umeme wa milioni anapata 500 hapo katumia rolls nzima ya 2000
 
Back
Top Bottom