TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tanesco ni shirika la HOVYO kweli! Hivi mnatozaje mtu ada ya kununua bidhaa yenu? Wapumbavu kabisa nyie!
 
Tanesco ni shirika la HOVYO kweli! Hivi mnatozaje mtu ada ya kununua bidhaa yenu? Wapumbavu kabisa nyie!
Tunashukuru sana, ada hii ipo upande wa njia unayonunulia umeme
 
Tanesco ni shirika la HOVYO kweli! Hivi mnatozaje mtu ada ya kununua bidhaa yenu? Wapumbavu kabisa nyie!
Tumia lugha safi pale unapotoa lalamiko lako, umekatwa ada na nani?
 
Hali ya umeme ni wa kuridhisha! Ubungo riverside toka pasaka mpaka leo hatujapata umeme zaidi ya saa 12. Tanzania ya viwanda
 
Ungewa tag Tanesco wapo humu kwa jina nadhani 'umemeforum'
 
Acheni kututesa hivi! ukifika gereji umeme unawaka hapa mwanzoni usoni wa mtaa unapoazia. as if umeme upo! mnachokifanya! is inhuman cheating!!! hatuna umeme ni wiki sasa. you guys are not serious. muda huu mmelala au mko bar mnalewa.

Huyu MTU wa tanesco anaesimamia Ubungo external maeneo ya makuburi ni muhuni na hana ubinadamu! usalama huku ni mdogo tusaidieni umeme urejee

Na tuwaambie tu hata mkifayeje tupo pamoja na mheshimiwa Magufuli Rais wetu. Tunajua mnafanya sabotage tuchukie! Rais anafanyakazi ninyi mnamharibia! atawaona tu mnavyofanyia.

Hembu terejesheen umeme ubungo gereji mtaa wa makuburi
. Na hakika wabunge wanaokinzana na serikali mwisho wao unakuja

wiki sasa hatuna umeme nyie mkoje?
 
Habari za asbuhi . jamani tanesco naombeni ufafanuzi Jana jioni nimenunua umeme kwa wakala 10000 lakini cha ajabu nimepata units8 . hii imekaaje ?
 
Habari za asbuhi . jamani tanesco naombeni ufafanuzi Jana jioni nimenunua umeme kwa wakala 10000 lakini cha ajabu nimepata units8 . hii imekaaje ?
Je kwenye risit uliyopatiwa imeonyesha umekatwa nini
 
Je kwenye risit uliyopatiwa imeonyesha umekatwa nini
Risiti ni kama unavyoona hapo . hakuna maelezo
IMG_20180403_194516.jpg
 
Ninawezaje kutoka kuwa mteja wa T1 kwenda T2 au T3.
 
Nipo kimara goroni mtaa wa amani namba yangu ya mita 24213873839 leo ni siku ya tatu kila ikifika saa moja ya usiku nyumba yangu tu ndio umeme unakatika,utarudi tena saa mbili nilikuwa naomba kujua tatizo nini?
 
Back
Top Bottom