mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Dah shida sana ni matatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajibu kirahisi maswali wewe chalii, mteja hayo maelezo kasoma, ishu ni kwamba, nini kimetokea kwa kuwa kabla ya hapo umeme alikuwa anapata unit zaid ya 8Maelezo ni hayo hapo kwenye summary
Mtalaamu wa mambo hutakiwi kujibu kirahisi rahisi tu kama anavyojibu huyu wa Tanesco.unajibu kirahisi maswali wewe chalii, mteja hayo maelezo kasoma, ishu ni kwamba, nini kimetokea kwa kuwa kabla ya hapo umeme alikuwa anapata unit zaid ya 8
Ndugu wapendwa wateja wetu kilichooulizwa ni kuhusu risit ambayo maelezo tumeonyeshanyalipo kwama mteja hatatupata vizuri tupo kutoa ufafanuzi zaidi na wajibu wa mteja kuuliza mara zoteMtalaamu wa mambo hutakiwi kujibu kirahisi rahisi tu kama anavyojibu huyu wa Tanesco.
Kwa kweli sijapendezwa na anavyotujibu sisi wateja wa Tanesco.
Mimi nakuomba ukiulizwa kitu jaribu kufuatilia hapo ofisini kwako kwa ulichoulizwa ndo uje ujibu hapa ukiwa na jibu la kweli na zuri usijibu tu kwa mihemko.
Risiti yake hiko wazi kabisa na inaonesha hana deni lolote kabisa...hebu tueleze nini kinatoke mtu atoe tsh 10, 000 na apate unit nane badala ya unit 27? nakuomba uangalie hiyo risiti upya kwa makini na uje utoe maelezo yanayo weza kuwaridhisha wateja na watu tunao fatilia hii thread tafadhali jiridhishe tena ulicho jibu .....Ndugu wapendwa wateja wetu kilichooulizwa ni kuhusu risit ambayo maelezo tumeonyeshanyalipo kwama mteja hatatupata vizuri tupo kutoa ufafanuzi zaidi na wajibu wa mteja kuuliza mara zote
Usiache kujibu hili TANESCORisiti yake hiko wazi kabisa na inaonesha hana deni lolote kabisa...hebu tueleze nini kinatoke mtu atoe tsh 10, 000 na apate unit nane badala ya unit 27? nakuomba uangalie hiyo risiti upya kwa makini na uje utoe maelezo yanayo weza kuwaridhisha wateja na watu tunao fatilia hii thread tafadhali jiridhishe tena ulicho jibu .....
Kumbuka hii thread inafatiliwa na watanzania wengi sana hivyo kabla ujatoa majibu angali kwanza na uje na majibu yasiyo acha maswali.....
Hio risiti ya shilingi 10,000 unaweza kuweka hapa tafadhali ili tuweze kutoa maelezoRisiti yake hiko wazi kabisa na inaonesha hana deni lolote kabisa...hebu tueleze nini kinatoke mtu atoe tsh 10, 000 na apate unit nane badala ya unit 27? nakuomba uangalie hiyo risiti upya kwa makini na uje utoe maelezo yanayo weza kuwaridhisha wateja na watu tunao fatilia hii thread tafadhali jiridhishe tena ulicho jibu .....
Kumbuka hii thread inafatiliwa na watanzania wengi sana hivyo kabla ujatoa majibu angali kwanza na uje na majibu yasiyo acha maswali.....
Ndugu wapendwa wateja wetuHio risiti ya shilingi 10,000 unaweza kuweka hapa tafadhali ili tuweze kutoa maelezo
Asante
Mkuu mimi nitakupa mfano wa matumizi yangu....mimi nikinunua umeme wa 10000 kwa sasa napata unit 27 sasa swali linalo kuja si mchanganuo bali ni idadi ya unit ...Ndugu wapendwa wateja wetu
Ukiangalia kwenye risit utaonamchanganuo wa makatomyote ambao unaonekana kama summary, utaona umekatwa VAT 18% REA 3% EWURA 1% na ada 1.1% ukijumlisha hayo yote unapata kiasi chote kinachoonekana
Wa unit 8 ana deni kwenye mita yake tunaomba namba ya mita tumuambia kiasi na sababu ya deniMkuu mimi nitakupa mfano wa matumizi yangu....mimi nikinunua umeme wa 10000 kwa sasa napata unit 27 sasa swali linalo kuja si mchanganuo bali ni idadi ya unit ...
Kwenye post namba 424 kuna mtu kakuwekea risit inayo onesha amelipia Tsh 10000 lakini kapata unit 8.2..... sasa ndio tunahitaji ufafanuzi kwanini kapata unit nane badala ya 27 kama wengine? Tunaomba ufafanuzi kwenye hilo kama hutojali mkuu....
why 8.2 unit kwa 10000.
Naomba upitie hiyo post yenye risit....ni post [HASHTAG]#424[/HASHTAG]
shukrani niliwapigia wakanipa text yenye token...thank youWapigie tigo wqkutumie masege tena
Ndugu mpendwa mteja fika ofisi ya eneo lako kwa uhakiki na kujaza fomuNanunua umeme wa shs 10, 000
Napata unit 28 nakaa nao siku 20
Nanunua tena wa sh 10,000 nakaa nao tena siku 20
Jumla nitakuwa nimenunua umeme wa sh elfu 20, 000
Kwa matumizi ya siku 40
Yaani ni sawa na mwezi mmoja na siku 10
Wastani wa unit 56
Mbaka hapo bado sijafikisha unit 75
Kwa hiyo ninastahili kuwekwa katika kundi la D1
Lakini cha kushangaza nipo tarif 1 kwa lugha yenu ya kitanesco nadhani nipo T3 huko
Sasa ili mnirudishe D1 ebu nipeni maelekezo nifanyaje ili nipate hiyo haki yangu ya kununua umeme unit 1 kwa 100
Kwa maelezo yenu nyie wenyewe basi mnaniibia kweli kweli na mie nilikuwa sijui
Namba yangu ya mita ni 24219180114.