Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIMENUNUA UMEME WA ELFU 10 NIMEKATWA TIGO PESA TSH 10,110/= NA MESSAGE NIMEPATA MBILI ZA TOKEN,MOJA KUTOKA TIGOPESA NA NYINGINE KUTOKA NAMBA 15200.Mteja anakatwa vat 18% rea 3% na ewura 1% hakuna makato mengine kwa t1 na d1
mkuu umepata token zakoNIMENUNUA UMEME WA ELFU 10 NIMEKATWA TIGO PESA TSH 10,110/= NA MESSAGE NIMEPATA MBILI ZA TOKEN,MOJA KUTOKA TIGOPESA NA NYINGINE KUTOKA NAMBA 15200.
Nimepata on the spot.mkuu umepata token zako
Tumepokea kwa uchunguzi zaidiTANESCO MSITUFANYE WAJINGA,FUATILIA UMEME WANAKATA TENA 1.1% UKIONDOA,VAT 18%,REA 3% NA UWERU 1%,HAYO MAKATO MAPYA YA 1.1% YAMETOKA WAPI? NIMENUNUA KWA TIGO PESA UMEME NIMEKATWA FEDHA YANGU ILIYOPO KWENYE TIGO PESA AMBAYO NI 1.1% YA UMEME NILIONUNUA,NIMENUNUA UMEME WA BUKU 10 TIGO PESA WAMEKATA JUMLA 10,110/= HILO KATO LILILOONGEZEKA LINAENDA KWA NANI 110/=? HUU SI WIZI? MBONA MWANZO UKINUNUA WA ELFU 10 INAKATWA HIYO HIYO ELFU 10?
Tumepokea taarifaWaya unaoingiza umeme kutoka kwenye nguzo umeshuka sana, kuna siku walikuja watu wa Tanesco kutengeneza nyumba ya jirani wakaniambia watarudi kuja kunirekebishia mpaka leo hawajafika. Naomba mnisaidie kuja kunirekebishia. Namba yangu ya mita ni 24214460917 eneo la Toangoma.
Natanguliza shukrani.
Eneo lako, namba ya simu na namba ya taarifa kama unayoWaya unaoingiza umeme kutoka kwenye nguzo umeshuka sana, kuna siku walikuja watu wa Tanesco kutengeneza nyumba ya jirani wakaniambia watarudi kuja kunirekebishia mpaka leo hawajafika. Naomba mnisaidie kuja kunirekebishia. Namba yangu ya mita ni 24214460917 eneo la Toangoma.
Natanguliza shukrani.
Ndugu mpendwa mteja nunua kwa njia nyingine njia hiyo inafanyiwa kaziMbona mi nimenunua naambiwa...
The value of parameter 66880000 is incorrect. The receiver organization queried by the organization entity ID or short code does not exist.
Sijaelewa kabisa na nina salio la kutosha via mpesa
Mimi mbona sijibiwi nimenunua umeme tangu asubuhi Kwa TIGO pesa,hela imekatwa lakini mrejesho wa token siuoni..Tunaomba tukusikilize mpendwa mteja wetu
Tunafatilia swala lako mpendwa mtejaTanesco hapa nianvo kwambia nimenunua umeme kwa tigopesa wa elfu 3 nimekatwa sh 33 mbali na hyo buku tatu kama ada kitu ambacho cijawahi kukatwa nimepiga cimu mpaka tigo nimeongea na muhudumu wao kanambia ni utaratibu mpaya ambao umeanza kutumiaka na mpaka sasa hvi cijapata token nimeambiwa mnamatatizo kwenye upokeaji wa malipo kutoka kwao hapa nabiashara imebidi nifunge tuu
Sina namba ya taarifa, nipo Toangoma Dar es Salaam.Eneo lako, namba ya simu na namba ya taarifa kama unayo