unajibu kirahisi maswali wewe chalii, mteja hayo maelezo kasoma, ishu ni kwamba, nini kimetokea kwa kuwa kabla ya hapo umeme alikuwa anapata unit zaid ya 8
Mtalaamu wa mambo hutakiwi kujibu kirahisi rahisi tu kama anavyojibu huyu wa Tanesco.
Kwa kweli sijapendezwa na anavyotujibu sisi wateja wa Tanesco.

Mimi nakuomba ukiulizwa kitu jaribu kufuatilia hapo ofisini kwako kwa ulichoulizwa ndo uje ujibu hapa ukiwa na jibu la kweli na zuri usijibu tu kwa mihemko.
 
Ndugu wapendwa wateja wetu kilichooulizwa ni kuhusu risit ambayo maelezo tumeonyeshanyalipo kwama mteja hatatupata vizuri tupo kutoa ufafanuzi zaidi na wajibu wa mteja kuuliza mara zote
 
Ndugu wapendwa wateja wetu kilichooulizwa ni kuhusu risit ambayo maelezo tumeonyeshanyalipo kwama mteja hatatupata vizuri tupo kutoa ufafanuzi zaidi na wajibu wa mteja kuuliza mara zote
Risiti yake hiko wazi kabisa na inaonesha hana deni lolote kabisa...hebu tueleze nini kinatoke mtu atoe tsh 10, 000 na apate unit nane badala ya unit 27? nakuomba uangalie hiyo risiti upya kwa makini na uje utoe maelezo yanayo weza kuwaridhisha wateja na watu tunao fatilia hii thread tafadhali jiridhishe tena ulicho jibu .....

Kumbuka hii thread inafatiliwa na watanzania wengi sana hivyo kabla ujatoa majibu angali kwanza na uje na majibu yasiyo acha maswali.....
 
Usiache kujibu hili TANESCO
 
Hio risiti ya shilingi 10,000 unaweza kuweka hapa tafadhali ili tuweze kutoa maelezo

Asante
 
Hio risiti ya shilingi 10,000 unaweza kuweka hapa tafadhali ili tuweze kutoa maelezo

Asante
Ndugu wapendwa wateja wetu
Ukiangalia kwenye risit utaonamchanganuo wa makatomyote ambao unaonekana kama summary, utaona umekatwa VAT 18% REA 3% EWURA 1% na ada 1.1% ukijumlisha hayo yote unapata kiasi chote kinachoonekana
 
Ndugu wapendwa wateja wetu
Ukiangalia kwenye risit utaonamchanganuo wa makatomyote ambao unaonekana kama summary, utaona umekatwa VAT 18% REA 3% EWURA 1% na ada 1.1% ukijumlisha hayo yote unapata kiasi chote kinachoonekana
Mkuu mimi nitakupa mfano wa matumizi yangu....mimi nikinunua umeme wa 10000 kwa sasa napata unit 27 sasa swali linalo kuja si mchanganuo bali ni idadi ya unit ...
Kwenye post namba 424 kuna mtu kakuwekea risit inayo onesha amelipia Tsh 10000 lakini kapata unit 8.2..... sasa ndio tunahitaji ufafanuzi kwanini kapata unit nane badala ya 27 kama wengine? Tunaomba ufafanuzi kwenye hilo kama hutojali mkuu....
why 8.2 unit kwa 10000.
Naomba upitie hiyo post yenye risit....ni post [HASHTAG]#424[/HASHTAG]
 
Wa unit 8 ana deni kwenye mita yake tunaomba namba ya mita tumuambia kiasi na sababu ya deni
 
Nanunua umeme wa shs 10, 000
Napata unit 28 nakaa nao siku 20
Nanunua tena wa sh 10,000 nakaa nao tena siku 20
Jumla nitakuwa nimenunua umeme wa sh elfu 20, 000
Kwa matumizi ya siku 40
Yaani ni sawa na mwezi mmoja na siku 10
Wastani wa unit 56
Mbaka hapo bado sijafikisha unit 75
Kwa hiyo ninastahili kuwekwa katika kundi la D1
Lakini cha kushangaza nipo tarif 1 kwa lugha yenu ya kitanesco nadhani nipo T3 huko
Sasa ili mnirudishe D1 ebu nipeni maelekezo nifanyaje ili nipate hiyo haki yangu ya kununua umeme unit 1 kwa 100
Kwa maelezo yenu nyie wenyewe basi mnaniibia kweli kweli na mie nilikuwa sijui
Namba yangu ya mita ni 24219180114.
 
Kuna uhusiano gani kukatika umeme na mvua. Mvua ikiwepovtu lazima umeme ukatike mnasemaje kwa hilo
 
Ndugu mpendwa mteja fika ofisi ya eneo lako kwa uhakiki na kujaza fomu
 
Mimi nipo bunju
Ukiniambia niende ofisi za Tanesco zilizo karibu yangu ni brach ya Tegeta
hao wafanyakazi wa Tanesco tawi la tegeta ni wa ovyo kabisa
Kuniunganishia umeme tu nilizungurushwa karibu mwaka mzima wakati nililipa gharama zote za Tanesco za kuunganishiwa umeme,
Mbaka nilipo wasirisha humu malalamiko ndio nikafungiwa umeme na Tanesco kutoka makao makuu ubungo siku ya pili tu baada ya kutoa taarifa hapa hapa kupitia thread hii
Sasa Basi kama kuna ofisi nyingine ya Tanesco nambieni niende nikajaze fomu na kuhakiki Taarifa za kupata hiyo D1
Lakini kwa Tanesco tawi la tegeta nitapoteza bure muda wangu pale nahisi kuna wapiga dili tu sio watoa huduma kwa wateja.
 
Tanesco sorry, hivi kuna Mgao? Kwanini kila siku mnakata umeme maeneo ya sinza/ubungo.....hizi line zina shida gani?
 
Shirika ovyo kabisa kuwahi kuwepo duniani, sijui nyie watu mnajisikiaje kukata umeme na kutoa huduma mbovu kiasi hiki.

Wenzetu duniani wapo so proud kuhakikisha kila mtu yupo satisfied kwa huduma wanazotoa, nyie Tanesco mpo tu hapo ili mradi maisha yaende. Ni majungu tu la zaidi hakuna.

Hivi watu wa nchi hii tuna laana gani? Umeme 24hrs kweli unakatika bila taarifa yoyote? Hizo electric trains mtaendesha na umeme gani?

Pathetic Company, so pathetic!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…