Umesajiliwa kwa kazi hiyoHabari zenu wakuu wa jf,mie ni fundi mzuri tu wa Umeme wa Majumbani,nafanya wiring katika nyumba na pia narekebisha hitilafu za kiumeme ndani ya nyumba,na pia natoa ushauri bure wa maswala ya kiumeme,
Aliye tayari ani Pm,napatikana ilala ila maeneo ya dar nafika kote
Sijasajiriwa kwa sababu sina kampuni isipokuwa mie ni fundi Umeme wa kujitegemea na pia ni muajiriwaUmesajiliwa kwa kazi hiyo
Imetokea kwajirani yanguRemote umeuziwa separate mkuu?
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOImekuwa Desturi kwa kampuni ya Umeme TANESCO Branch ya Bagamoyo kutoa huduma ya Umeme ambayo si ya uhakika. Umeme umekuwa ukikatika Mara kwa Mara na huchukua muda mrefu kurudi.
Hivyo, point yangu ya msingi hamuoni kwamba mnachangia kuwafanya wanachi wa Bagamoyo kuwa Masikini? Wananchi walio wengi Bagamoyo wanategea umeme katika uzalishaji ili kujipatia kipato waweze kuishi sasa mnapokata umeme kiholela hivyo pasipo kutoa taarifa mna maana gani?
Ndugu Meneja hakika haturidhishwi na uchapa kazi wako ni mbovu haiwezekani umeme ukatike kila siku kiasi hiki. Kama huwezi kazi kaa chonjo. Tunalipa kodi za frem tunalipia leseni kila mwezi hamuoni kama tunaumia? Mnataka tufunge maduka yetu turande mitaani ndiyo mfurahi. Hakika MNAKERA sana
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKONililipia Nguzo mbili za Umeme ambazo hazikutumika katika uwekaji wa Umeme kwa vile ilionekana hazihitajiki tena Na hivyo kurudishwa, nimeandika barua kuomba kurudishiwa fedha zangu toka Feb 2017 hadi leo kila siku ngonjera. Nimewaambia mnirudushie hata ikiwa kwa units za umeme nalo limeshindikana.Haki yangu nitarudishiwa lini? Tanesco kigamboni
wanazima zima ovyo tu bila taarifaWazingua kinyama hawa
TANESCO kwakweli huku mtoni kijichi/mbagala mkuu mnatuonea sana..... toka 2011 kila siku umeme lazima ukatike whether jua ama mvua haijawahi kupita siku umeme haujakatika!! hta hapa navyopost ujumbe huu mlishakata umeme sasa sielewi tatizo gani lisiloisha mwaka wa 6 sasa??MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO.....................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Kwa kuongezea tu.maeneo mengine kama Masaki.Oyesterbay.ubungo tunaona kwenye vyombo vya hbr mkiwajulisha mapemaaa na ikitokea dharura mnawaomba msamaha lkn MBAGALA maneno ni mawili tu KA. + TAHuku mbagala mnakata umeme kila siku tatizo ni nini? Hata sasa umeme umekatika. Mnatukwaza sana. Hasa ukizingatia wengine tunategemea umeme kwenye shughuli zetu za kijasiliamali.
Ndugu mpendwa mteja taarifa zinatolewa kwa wateja wetu bila ubaguzi.tunakuahidi kuendelea kutoa taarifa zaidiKwa kuongezea tu.maeneo mengine kama Masaki.Oyesterbay.ubungo tunaona kwenye vyombo vya hbr mkiwajulisha mapemaaa na ikitokea dharura mnawaomba msamaha lkn MBAGALA maneno ni mawili tu KA. + TA
JAMANI TANESCO VIPI MBONA SIJIBIWI AU NIELEKEZENI NIFANYE NINITANESCO TAFADHALI NAOMBA MNISAIDIE NATUMIA UMEME UNIT NDOGO SANA KWA MWEZI HATA 65 HAZIFIKI KWA MWEZI LAKINI NAONA BEI YA MANUNUZI WA UMEME BADO NI YA WATUMIAJI WAKUBWA MLISEMA HUA INABADILIKA AUTOMATICALLY HAMNA KITU. METER NO. NI 24217491554
Taarifa nimewafikishia jitafakarini naamini mnaujua ukweliNdugu mpendwa mteja taarifa zinatolewa kwa wateja wetu bila ubaguzi.tunakuahidi kuendelea kutoa taarifa zaidi