Tanesco hebu acheni utaahira wenu jana mmetuweka bila umeme kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa saba usiku maeneo ya keko bora halafu saa 12 asubuhi mnatukatia umeme kwani huo umeme tunatumia bure
Pale Tegeta ni jipuTANESCO Dar es Salaam City, Tegeta District nguzo zinakuja lini nimesubiri toka Januari mpaka sasa tatizo ni nini?
Nashangaa kule vijijini REA wamekazana kufunga kwa spidi ya Kimondo... Mji Mkuu wa Biashara doro. Majibu please.
TANESCO TANESCO Naombeni majibuPale Tegeta ni jipu
Ila kwa kuwa umo humu basi Shida yako itatatuliwa fasta
Nakushauri funguka zaidi, toa maelezo yako yakiwa yamenyooka mbaka msomaji wa Tanesco akiyekuwa kwenye zamu yamguse aone kweli mteja unasumbuka
Mimi najishuhudia Mwenyewe niliingia humu nikafunguka kweli kweli
basi asubuhi yake nikapigiwa simu na Tanesco makao makuu wakanifungia Umeme mafundi kutoka makao makuu na sio wale wa Tegeta pale.
Ok thanks.
TANESCO TANESCO TANESCO Mpanga nguzo ianguke iue ndio mje?Napenda kuwafahamisha watu wa Tanesco kuwa, kuna nguzo yenu hapa Kimara King'ongo karibu na msikitini inakariba kuanguka. Tumeshatoa taarifa hii Mbezi zaidi ya mwezi sasa, lakini hakuna ufuatiliaji au mnata ianguke, iue ndio mje? Ripoti namba ni hii 5104. tunawasubiri nguzo ikishaanguka na kuua mje mtupe pole.