Ndugu mpendwa mtejaKwanza kabisa nianze kwa kuwashushia pongezi kwa kaz nzuri manayoifanya ya kuangaza maisha yetu..lkn nipende kuwapa ushauri kuwa utaratibu unatumika kuwapata waajiriwa sio mzuri kabisa. mnatangaza nafasi za kazi labda mkoa flan ..pale mkoan kuna wa2 mnawaita st e au wengine wamejitolea pale wanaanza kupewa wao kipaumbele sasa kwann msiwatangazia hao hao why mna weka tangazo public ? na hz interview zinafanyika mikoani zimejaa upendeleo 2 sio haki ebu igeni kutoka utumish secretariet angalau wao wanaendesha asimia kubwa kwa haki. Na kwann msichukue nafas za mikoa yote mkatangaza usaili ukafanyika makao makuu apo ata upendeleo utatoka wap?mpk huyo hr wa mkoa flan apige sim makao makuu et ana mjomba wake sio raisi,lkn sio huo utoto unafanyika saiz mikoan wa2 wanaumia sana m2 katoka rukwa anenda kufanya usail mtwala amuon ghalama anayo2mia alafu afanye vzr mnampa m2 wa pale pale eti kwa vile amejitolea hv ndio sheria ya kujiri inasema hvyo ?bas kama ni hvyo toen nafas kwa watu wote waje kujitolea,wapate kaz kama wamebahatika wachache kupata bas isiwe kigezo cha kusema eti huyu kajitolea miaka ming apewe nafas? Kwa hyo alie maliza chuo leo ana nafas ya kuajiriwa? nacho kijua nafas ya kuajiriwa labda kama senior position hyo kwel inataka experience lkn sio zingine hz za kawaida ebu mkafutilie utumish wanafanya vip kutafuta waajiriwa wapya . naombeni sana mbadili utaratibu huo kwanza kabsa usaili uwe unafanyika makao makuu...pili kusiwe na upendeleo wa watu sijui wamejitolea vinginevyo ili swala tutalipeleka ofis ya wazir mwenye zamana
Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo gani na namba yako ya simu mpendwa mtejaMe nataka kujua Geita kuna tatizo gani maana umeme ni kata rudi kata rudi hauko stable kabisa
Tunaomba namba zako za simu mpendwa tutakupatia mrejeshoNaomba ufafanuzi Wa kina juu ya maeneo haya:
PANGANI -KIBAHA karibu na machinjio ya mkoa Wa Kibaha nguzo zimesimikwa tatizo kwann nyumba haziunganishwi Umeme zaidi ya miezi 6 sasa.
MKOKOZI - MKURANGA Umeme umefika baadhi ya nyumba Umeme umewaka, kwann nyumba zingine ambazo zimelipa tayari lkn haziunganishiwi?
Karibu mpendwa mteja.tupo kukuhudumianaona wameamua kukimbia uzi wao
nataka kujua kama mtu kafungiwa LUKU mpya anapaswa kununua umeme wa kiasi gani mara yake ya kwanza?
Inategemeanataka kujua kama mtu kafungiwa LUKU mpya anapaswa kununua umeme wa kiasi gani mara yake ya kwanza?
Afadhali Tanesco kwa mala ya kwanza mmejbu wazo LA mdau.OK mnalifanyia VP kazi swala la wafanyakazi wa Customer care zote za Dar kuwa madalali wa fomu za maombi ya mwanzo wanazochukua wateja? wakishirikiana na baadhi ya wanaojiita et makontractor wanaoshinda nje ya Tanesco?.Pia mm ninaamin ni kosa kwa mfanyakazi wa Tanesco kujihusisha na et wao wanaita kumsaidia mteja apate umeme kwa wakati, MF muajiliwa anachukua tenda kwa mteja ya kumfatilia prose's za kufungiwa umeme mm Camini kama sheria za kazi zimawaluhusu kufanya ivyo na uo ndio Ukishoka unaopigwa vita,please anza na Tanesco ilala waajiliwa wa costomer care wote ni Vishoka, kama mnania ya kweli ya kutokomeza uchafu huu ect ww unataka fomu alafu jifanye kama huelewi kinachoendelea iv pale utaona mchezo mchafu,Anza na ilala wachafu sana kwa michezo hii.CTA acha kuandika haya sababu yamenikuta niliumia sana kama mtejaInategemea
Kama ni njia moja nunua kuanzia 17500 ili ulipie unit 50 ambazo zilifungwa na mita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mpendwa mteja wetuAfadhali Tanesco kwa mala ya kwanza mmejbu wazo LA mdau.OK mnalifanyia VP kazi swala la wafanyakazi wa Customer care zote za Dar kuwa madalali wa fomu za maombi ya mwanzo wanazochukua wateja? wakishirikiana na baadhi ya wanaojiita et makontractor wanaoshinda nje ya Tanesco?.Pia mm ninaamin ni kosa kwa mfanyakazi wa Tanesco kujihusisha na et wao wanaita kumsaidia mteja apate umeme kwa wakati, MF muajiliwa anachukua tenda kwa mteja ya kumfatilia prose's za kufungiwa umeme mm Camini kama sheria za kazi zimawaluhusu kufanya ivyo na uo ndio Ukishoka unaopigwa vita,please anza na Tanesco ilala waajiliwa wa costomer care wote ni Vishoka, kama mnania ya kweli ya kutokomeza uchafu huu ect ww unataka fomu alafu jifanye kama huelewi kinachoendelea iv pale utaona mchezo mchafu,Anza na ilala wachafu sana kwa michezo hii.CTA acha kuandika haya sababu yamenikuta niliumia sana kama mteja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnachukua muda mrefu sana kujibu maswali humu ya wateja wenu? Kuna haja ya kuwa na huu uzi humu? Muwe na watu kadhaa wa kitengo cha PR wawe na access, sio mmoja maama nadhami yupo mmoja. Kama wapo kadhaa basi hamna haja ya huu uzi.Inategemea
Kama ni njia moja nunua kuanzia 17500 ili ulipie unit 50 ambazo zilifungwa na mita
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajibu kwa wakati mpendwa mteja wetu labda kama hatukuona yakwako tunakuo.ba radhi kwa hiloKwa nini mnachukua muda mrefu sana kujibu maswali humu ya wateja wenu? Kuna haja ya kuwa na huu uzi humu? Muwe na watu kadhaa wa kitengo cha PR wawe na access, sio mmoja maama nadhami yupo mmoja. Kama wapo kadhaa basi hamna haja ya huu uzi.
Ndg Mpendwa mteja,ufafanuzi wa swali lako ni kama ufuatavyo:-Naomba ufafanuzi Wa kina juu ya maeneo haya:
PANGANI -KIBAHA karibu na machinjio ya mkoa Wa Kibaha nguzo zimesimikwa tatizo kwann nyumba haziunganishwi Umeme zaidi ya miezi 6 sasa.
MKOKOZI - MKURANGA Umeme umefika baadhi ya nyumba Umeme umewaka, kwann nyumba zingine ambazo zimelipa tayari lkn haziunganishiwi?
Ndugu mpendwa mteja tunaomba maelezo ya ziada ya fidia ya nin? Wilaya? Eneo na namba yako ya simuTanesco Arusha lipeni madeni ya wananchi ya fidia .mnatia aibu miaka 3 mnazungusha watu tuu .shame on you .kwa hili inaonesha ni jinsi gani Tanesco aijabadilika tokea Raisi Magufuli aingie madarakani .ukali wote kwa Tanesco mambo ni yale yale business as usually
Sent using Jamii Forums mobile app