TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO KAHAMA.
NIMELIPIA TAREHE 13/4/2018.
MPAKA LEO 19/8/2018.
CHENGA NA SABABU ZISIZO.
KIBAYA KULUKO VYOTE.WALILETA NGUZO WAKAJA KUZIIJIA NA KUMFUNGIA JIRANI.
MBONA MNANIFANYIA HIVI LAKINI.
KESHO NTAENDA KUDAI NKANUNUE SOLAR SIWEZI KUVUMILIA HALI HII.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa nianze kwa kuwashushia pongezi kwa kaz nzuri manayoifanya ya kuangaza maisha yetu..lkn nipende kuwapa ushauri kuwa utaratibu unatumika kuwapata waajiriwa sio mzuri kabisa. mnatangaza nafasi za kazi labda mkoa flan ..pale mkoan kuna wa2 mnawaita st e au wengine wamejitolea pale wanaanza kupewa wao kipaumbele sasa kwann msiwatangazia hao hao why mna weka tangazo public ? na hz interview zinafanyika mikoani zimejaa upendeleo 2 sio haki ebu igeni kutoka utumish secretariet angalau wao wanaendesha asimia kubwa kwa haki. Na kwann msichukue nafas za mikoa yote mkatangaza usaili ukafanyika makao makuu apo ata upendeleo utatoka wap?mpk huyo hr wa mkoa flan apige sim makao makuu et ana mjomba wake sio raisi,lkn sio huo utoto unafanyika saiz mikoan wa2 wanaumia sana m2 katoka rukwa anenda kufanya usail mtwala amuon ghalama anayo2mia alafu afanye vzr mnampa m2 wa pale pale eti kwa vile amejitolea hv ndio sheria ya kujiri inasema hvyo ?bas kama ni hvyo toen nafas kwa watu wote waje kujitolea,wapate kaz kama wamebahatika wachache kupata bas isiwe kigezo cha kusema eti huyu kajitolea miaka ming apewe nafas? Kwa hyo alie maliza chuo leo ana nafas ya kuajiriwa? nacho kijua nafas ya kuajiriwa labda kama senior position hyo kwel inataka experience lkn sio zingine hz za kawaida ebu mkafutilie utumish wanafanya vip kutafuta waajiriwa wapya . naombeni sana mbadili utaratibu huo kwanza kabsa usaili uwe unafanyika makao makuu...pili kusiwe na upendeleo wa watu sijui wamejitolea vinginevyo ili swala tutalipeleka ofis ya wazir mwenye zamana

Ndugu mpendwa mteja
Tafadhali nenda moja kwa moja kwenye eneo gani unalolamikia? Mkoa gani na ni nafasi gani unadhani zilifanyika hivyo? Itapendeza zaidi kuwa na hoja yenya data kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nataka kujua Geita kuna tatizo gani maana umeme ni kata rudi kata rudi hauko stable kabisa
 
Naomba ufafanuzi Wa kina juu ya maeneo haya:

PANGANI -KIBAHA karibu na machinjio ya mkoa Wa Kibaha nguzo zimesimikwa tatizo kwann nyumba haziunganishwi Umeme zaidi ya miezi 6 sasa.

MKOKOZI - MKURANGA Umeme umefika baadhi ya nyumba Umeme umewaka, kwann nyumba zingine ambazo zimelipa tayari lkn haziunganishiwi?
 
Tunaomba namba zako za simu mpendwa tutakupatia mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ishu sio mkoa gan uwezi pata ushaid moja kwa moja kwa vile unakuwa ujachukua ushaidi ishu n kwamba utaratibu wa kufanya usaili mikoani ubadilike usaili ufanyike makao makuu zen wahusika watapangiwa hiyo mikoa waliyo omba nafas kama wanavyo fanya secretariet ya ajira lkn hii ya kufanya mikoan huko huko ifanyike sehemu moja ata malalamiko hayatakuwepo au manataka kila kitu mpk atoke mtu wa juu kuja kukosoa ndio mtaana nisahihi lkn tukishauri umu mnapotezea lkn amuwez jua ni nani pia anashauri kwa hyo ni ushauri wa wazi kabisa watu wamechoka kuhangaishwa ...saiz TRA wamepeleka uko utumish hawaajiri tena wenyewe kama zamani ..ilivyokuwa wanafanya tu huko huko mikoan saiz unafanya usaili dsm unapangiwa sehem yenye uhaba hii kidogo inapunguza upendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea
Kama ni njia moja nunua kuanzia 17500 ili ulipie unit 50 ambazo zilifungwa na mita

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali Tanesco kwa mala ya kwanza mmejbu wazo LA mdau.OK mnalifanyia VP kazi swala la wafanyakazi wa Customer care zote za Dar kuwa madalali wa fomu za maombi ya mwanzo wanazochukua wateja? wakishirikiana na baadhi ya wanaojiita et makontractor wanaoshinda nje ya Tanesco?.Pia mm ninaamin ni kosa kwa mfanyakazi wa Tanesco kujihusisha na et wao wanaita kumsaidia mteja apate umeme kwa wakati, MF muajiliwa anachukua tenda kwa mteja ya kumfatilia prose's za kufungiwa umeme mm Camini kama sheria za kazi zimawaluhusu kufanya ivyo na uo ndio Ukishoka unaopigwa vita,please anza na Tanesco ilala waajiliwa wa costomer care wote ni Vishoka, kama mnania ya kweli ya kutokomeza uchafu huu ect ww unataka fomu alafu jifanye kama huelewi kinachoendelea iv pale utaona mchezo mchafu,Anza na ilala wachafu sana kwa michezo hii.CTA acha kuandika haya sababu yamenikuta niliumia sana kama mteja

Ndugu mpendwa mteja wetu
Shirika lako la Umeme Nchini linashukuru kwa taarifa hii muhimu tutaifanyia uchunguzi na kuweza kuchukua hatau stahiki.aidha tunaomba kama una taarifa za mtu au watu ambao tutaanza nawo utupatie ushirikiano wa taarifa kamili za hawo watuhumiwa au fika Takukuru kwani Shirika letu halileo watu wanaoenda kinyume na sheria za Nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea
Kama ni njia moja nunua kuanzia 17500 ili ulipie unit 50 ambazo zilifungwa na mita

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnachukua muda mrefu sana kujibu maswali humu ya wateja wenu? Kuna haja ya kuwa na huu uzi humu? Muwe na watu kadhaa wa kitengo cha PR wawe na access, sio mmoja maama nadhami yupo mmoja. Kama wapo kadhaa basi hamna haja ya huu uzi.
 
Tunajibu kwa wakati mpendwa mteja wetu labda kama hatukuona yakwako tunakuo.ba radhi kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ufafanuzi Wa kina juu ya maeneo haya:

PANGANI -KIBAHA karibu na machinjio ya mkoa Wa Kibaha nguzo zimesimikwa tatizo kwann nyumba haziunganishwi Umeme zaidi ya miezi 6 sasa.

MKOKOZI - MKURANGA Umeme umefika baadhi ya nyumba Umeme umewaka, kwann nyumba zingine ambazo zimelipa tayari lkn haziunganishiwi?
Ndg Mpendwa mteja,ufafanuzi wa swali lako ni kama ufuatavyo:-
Mkokozi pamoja na Lugwadu mradi bado unaendelea. Mkandarasi SENGEREMA ENG REA III (1) bado ana muda wa kutosha kabla ya Mkataba wake kuisha mwakani 2019. Wateja wote ambao wako ndani ya eneo la Mradi kwa mujibu wa Mkataba watapata Umeme kipindi hiki. Kuhusu Pangani KIBAHA ambapo nguzo zimesimama tu, kuna Mradi wa Densification (kuongeza wigo) ambao ulisimama kutokana na Mkandarasi kumaliza scope kwa mujibu wa Mkataba. Kutokana na ongezeko na mahitaji ya Wateja zaidi, Mkandarasi STEG ENG ameshapewa Mkataba mwingine wa kumalizia mahitaji ya Wateja 4600 wa Single phase na 66 wa Three phase kwa Mkoa wa Pwani. Mkandarasi ameshapata vifaa na muda si mrefu atarudi site kumalizia kazi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Arusha lipeni madeni ya wananchi ya fidia .mnatia aibu miaka 3 mnazungusha watu tuu .shame on you .kwa hili inaonesha ni jinsi gani Tanesco aijabadilika tokea Raisi Magufuli aingie madarakani .ukali wote kwa Tanesco mambo ni yale yale business as usually

Ndugu mpendwa mteja tunaomba maelezo ya ziada ya fidia ya nin? Wilaya? Eneo na namba yako ya simu
TANESCO MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom