Tanesco naweza omba kwenu nikahama maana ni garama unapohama unfika sehemu tena uaanze process ya kuvuta umeme wakati kuna metre ulikuwa umeilipia, vhangamoto ni huu umeme wa kushare umekatika anaetakiwa kulipa anasema niko mbali na sina hela huku wewe biashara zako zinauhitaji umeme muda woteMita ikishafungwa eneo moja haihamishiki na kuhamisha ni kosa kisheria labda kwa sababu ambazo zipo ndani ya maamuzi ya TANESCO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hairuhusiwi kwa mujibu wa taratibu zetu ukifika eneo lingine omba umeme tutakufungiaTanesco naweza omba kwenu nikahama maana ni garama unapohama unfika sehemu tena uaanze process ya kuvuta umeme wakati kuna metre ulikuwa umeilipia, vhangamoto ni huu umeme wa kushare umekatika anaetakiwa kulipa anasema niko mbali na sina hela huku wewe biashara zako zinauhitaji umeme muda wote
Je umelipia kwa jina ganiJamani naomba Tanesco ofisi za Wilaya ya Hanang mtusaidie basi kukague wanaohitaji umeme basi mbona process inachukua muda mrefu jamani tangu huyu bibi hapa kijijini hapa Meascrow ameleta fomu yake ili awakewe umeme jamani ni mtu anamsaidia tu.Tanesco sasa kitu gani kifanyike au process unachukua muda gani kwa sababu naona umeme mpaka awekewe itachukua muda na hela hana bibi wa watu
Tanesco naweza omba kwenu nikahama maana ni garama unapohama unfika sehemu tena uaanze process ya kuvuta umeme wakati kuna metre ulikuwa umeilipia, vhangamoto ni huu umeme wa kushare umekatika anaetakiwa kulipa anasema niko mbali na sina hela huku wewe biashara zako zinauhitaji umeme muda wote
Jamani naomba Tanesco ofisi za Wilaya ya Hanang mtusaidie basi kukague wanaohitaji umeme basi mbona process inachukua muda mrefu jamani tangu huyu bibi hapa kijijini hapa Meascrow ameleta fomu yake ili awakewe umeme jamani ni mtu anamsaidia tu.Tanesco sasa kitu gani kifanyike au process unachukua muda gani kwa sababu naona umeme mpaka awekewe itachukua muda na hela hana bibi wa watu
Nguzo inawezwa kuhamishwa kwa maombi yako kwa maandishi kwenda kwa meneja wa eneo husika.Mara baada ya kuleta maombi tutapima na kukupatia gharama za mahitaji za kuhamisha nguzo husikaNaomba kuuliza; In case nguzo ya umeme iko ndani ya kiwanja changu na nahitaji kuweka fence ya ukuta kuna huduma ya kuhamishwa na kuwekwa nje ya uwanja wangu?
Jina la Monica Lazaro
Fomu kwa ajili ya ukaguzi ilipelekwa tarehe 29 mwezi wa Tano (29/5/2020) kwa taharifa za huyo bibi yangu na Jina lake ni Monica Lazaro.Bado hawajakagua kwa ajili ya kulipia kuwekewa umeme.Asante
Tafadhali tuma taaarifa kamiliJina la Monica Lazaro
Fomu imewasilishwa tarehe
Fomu kwa ajili ya ukaguzi ilipelekwa tarehe 29 mwezi wa Tano (29/5/2020) kwa taharifa za huyo bibi yangu na Jina lake ni Monica Lazaro.Bado hawajakagua kwa ajili ya kulipia kuwekewa umeme.Asante
Jina Richard Mbowe, eneo chanika Daressalaam, wilaya ilala, simu 0755446868, tarehe malipo 10/3/2020 kiasi nilicholipa sh 516,000. Tatizo sioni hata dalili za kupata huduma hadi leo. Msaada tafadhariTafadhali tuma taaarifa kamili
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tarehe ya malipo
Kiasi
Tatizo
Kwa hatua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msome taarifa yangu vizuri.Pale Hanang wilayani walisema tujaze fomu irudishwe mafundi au sijui mnawaita wakaguzi waende wakakague ndio tulipie kuwekewa umeme.Sasa tumekwama hapo kwenye ukaguzi ,hatuna mtu wa kufuatilia kwani mhusika ni bibi mzee hawezi alikuwa anasaidiwa n kijana wake anayesoma chou sasa alipofungua chou hakuna wakufuatilia.Na hata ukifuatilia wanakuambia weka fomu hapo tutakuja wenyewe wala msipige simu ndio utaratibu wao.Narudia tena ,kulipia bado tuko kwenye stage ya ukaguzi ili walipieTafadhali tuma taaarifa kamili
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tarehe ya malipo
Kiasi
Tatizo
Kwa hatua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali onyeshaNaomba msome taarifa yangu vizuri.Pale Hanang wilayani walisema tujaze fomu irudishwe mafundi au sijui mnawaita wakaguzi waende wakakague ndio tulipie kuwekewa umeme.Sasa tumekwama hapo kwenye ukaguzi ,hatuna mtu wa kufuatilia kwani mhusika ni bibi mzee hawezi alikuwa anasaidiwa n kijana wake anayesoma chou sasa alipofungua chou hakuna wakufuatilia.Na hata ukifuatilia wanakuambia weka fomu hapo tutakuja wenyewe wala msipige simu ndio utaratibu wao.Narudia tena ,kulipia bado tuko kwenye stage ya ukaguzi ili walipie
Jina :Monica Lazaro
Salaam, nilileta taarifa kwenu na kuahidi kulifuatilia .
Tutakupa mrejesho ndugu mteja.Salaam, nilileta taarifa kwenu na kuahidi kulifuatilia .
Naleta tena kwako kwa kukumbushia.
Ahsante nashukuru.