Tanesco mtujibu kwa Nini umeme unakatika Kila siku hapa dar hasa huku goba? Au tuwashtaski kwa mama
 
MAGUFULI amekufa tu hata kujibu malalamiko mmeacha..

mmekata umeme tangu asubuhi saa1 ,umerud saa12 jioni cha ajabu umekatika tena hii saa1 ,mna roho mbaya sana nyie mbwa..
 
Pongwe tanga umeme umekata tunapiga cm emergency 0658122412 eti inatumika tu sasa waliweka no ya nini je kama nyumba zinaungua?
 
Hivi Nyie Tanesco Mambo Gani Mnatufanyia?
Nna Kazi Za Watu Hapa Zinalala,Rudisheni Umeme.

KILIMANJARO
 
Hivi Nyie Tanesco Mambo Gani Mnatufanyia?
Nna Kazi Za Watu Hapa Zinalala,Rudisheni Umeme.

KILIMANJARO
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Pongwe tanga umeme umekata tunapiga cm emergency 0658122412 eti inatumika tu sasa waliweka no ya nini je kama nyumba zinaungua?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Leo siku ya tatu baadhi ya maeneo ya Kangae A Mwanza wilaya ya Ilemela umeme hakuna,tumepiga simu zaidi ya mara tatu no 0783722610 anapokea mdada anaahidi tatizo linashughulikiwa lakini hamna kitu,tuko gizani siku ya tatu sasa
 
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidi
 
Wananchi wa mafinga mjini mtaa wa luganga tunawiki tatu hatuna umeme.. tafadhali tunaomba mtufikirie jamani
 
Wananchi wa mafinga mjini mtaa wa luganga tunawiki tatu hatuna umeme.. tafadhali tunaomba mtufikirie jamani
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Morogoro mjini jana mmetukatia umeme asubuhi hadi jioni

Na leo tena asubuhi mmekata umeme

Kama kuna mgao si mseme mnaficha nini ?

Tujue kabisa ufanisi hakuna nyie ni jipu
 
Morogoro mjini jana mmetukatia umeme asubuhi hadi jioni

Na leo tena asubuhi mmekata umeme

Kama kuna mgao si mseme mnaficha nini ?

Tujue kabisa ufanisi hakuna nyie ni jipu
Tafadhali tuonyeshe ni eneo gani? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Tanesco ofisi ya Rafia zamani Tank bovu kiongozi wao anaitwa nani?

Jamaa wanakatakata umeme kila mara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi.

Imagine hata muda naandika watu wako gizani kwa masaa mengi sana [emoji848][emoji848]

Kwa nini mnawatesa wananchi kiasi hicho?

Meneja wa Tanesco Rafia zamani Tank bovu tafakalini, chukueni hatua rudisheni huduma.

Mnakera sana.

Mnakwaza watu vibaya sana!

Mnataka wananchi wafanye nini ili kuepukana na usumbufu mkubwa mnaowasababishia na hasara?
 
Halafu nasikia simu yenu ya dharura huwa inaongea muda wote,
Hivi huwa mnaifanyaje? Au mnaikedua makusudi?

Hebu rudisheni huduma jamani au mnataka wafanyeje?

Hivi wananchi mnawachukuliaje kwa mfano?
 
Hawa jamaa wanataka kuchonganisha serikali na wananchi wake wananchi waone kama serikali haiwajibiki vyema ktk kuwapatia huduma regularly.
 
Hawa wanataka kumhujumu Rais SSH siyo bure.

Yani tangu JPM aondoke Tanesco wameanza vitimbi vyao vya kukata umeme.

Wanaudhi sana hawa.

Waziri Kalemani please be informed where you are!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…