Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi Nyie Tanesco Mambo Gani Mnatufanyia?
Nna Kazi Za Watu Hapa Zinalala,Rudisheni Umeme.
KILIMANJARO
Ndugu mpendwa Mteja wetuPongwe tanga umeme umekata tunapiga cm emergency 0658122412 eti inatumika tu sasa waliweka no ya nini je kama nyumba zinaungua?
[emoji1][emoji1]Tanesco mtujibu kwa Nini umeme unakatika Kila siku hapa dar hasa huku goba? Au tuwashtaski kwa mama
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidiLeo siku ya tatu baadhi ya maeneo ya Kangae A Mwanza wilaya ya Ilemela umeme hakuna,tumepiga simu zaidi ya mara tatu no 0783722610 anapokea mdada anaahidi tatizo linashughulikiwa lakini hamna kitu,tuko gizani siku ya tatu sasa
0754407868Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidi
Ndugu mpendwa Mteja wetuWananchi wa mafinga mjini mtaa wa luganga tunawiki tatu hatuna umeme.. tafadhali tunaomba mtufikirie jamani
Tafadhali tuonyeshe ni eneo gani? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidiMorogoro mjini jana mmetukatia umeme asubuhi hadi jioni
Na leo tena asubuhi mmekata umeme
Kama kuna mgao si mseme mnaficha nini ?
Tujue kabisa ufanisi hakuna nyie ni jipu
Tafadhali tuonyeshe ni eneo gani? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
Kwanini Umeme toka Mh.Magifuli atutoke unazimwa na kuwashwa hovyo hovyo.Nadhani Mh.Samia habadili Mkurugenzi was Tanesco pia maana hafiayolii hizi keep za Zima washa Zima washa,Kama mtu kaenda na mtoto hapo sasa anachezea.Hasa huku Mtoni kijichi Mbagala.