Mkuu unaweza kupita page ya 94....Kuna member humu alileta uzi kwamba Tanesco baada ya kushindwa kupeleka umeme sehemu aliyojenga, alishauriwa anunue genereta iliyogharimu 6.5m , sasa anasema Tanesco wameifanya yao na hawataki kum refund gharama zake, na pia wanataka kuwaunganisha wateja wengine hata bila kumshirikisha. Hili likoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
....Vipi kuhusu pale mteja anapoingia gharama kubwa ya kununua nguzo nyingi ili kupata umeme,halafu baadae wengine wanaofuata wanaunganishiwa at low costs?Kinachoangaliwa ni umilili yaani ownership je ni mali yako au yetu.aidha mara nyingi mtu analipia transfomer linalomuhudumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Page namba 94 ujumbe/post namba 938 imefafanua vyema mkuu....Vipi kuhusu pale mteja anapoingia gharama kubwa ya kununua nguzo nyingi ili kupata umeme,halafu baadae wengine wanaofuata wanaunganishiwa at low costs? Kwa nini kusiwe na uraratibu wa new customers kumchangia huyu mteja wa kwanza ili gharama zake zipungue kidogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunalipia umeme kama tunafanya biashara wakati ni matumizi ya nyumbani tena ya kawaida sana elf kumi unit 26Mimi malalamiko yangu juu ya umeme ninao nunua wa shilingi elf kumi napata unit 26 na matumizi yangu ni ya kawaida lkn wengine hiyo hiyo elf kumi wanapata zaidi na ya unit 26 na nikipeleka maombi ya kubadilishwa tarifu lkn ombi langu nikambiwa linafanyiwa kazi lkn mpaka leo kimya kunanini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeipokea mkuu kwa hatua zaidiTANESCO MOROGORO:
TRANSPOTER OFFICER NA MA VEHICLE INSPECTOR WALITUFELISHA WATU WOTE TULIOENDA KUFANYA INTERVIEW..MWEZ JUNE KUMBE WANA WATU WAO.
HII TABIA IKOMESHWE HARAKA.
MIONGONI MWA WALIOPATA KAZI NI MDOGO WAKE VEHICLE INSPECTOR AMEPATA KAZI BILA HATA KUOMBA KAZI.
HII TAMBIA INALIDHALILISHA SHIRIKA LA TANESCO MOROGORO.
TAARIFA IKUFIKIE HR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupatie taarifa zaidi inbox ya jina lamunayedhani amepata bila kuomba, waliomba na sifa zao kisha tutakupatia ufafanuziTANESCO MOROGORO:
TRANSPOTER OFFICER NA MA VEHICLE INSPECTOR WALITUFELISHA WATU WOTE TULIOENDA KUFANYA INTERVIEW..MWEZ JUNE KUMBE WANA WATU WAO.
HII TABIA IKOMESHWE HARAKA.
MIONGONI MWA WALIOPATA KAZI NI MDOGO WAKE VEHICLE INSPECTOR AMEPATA KAZI BILA HATA KUOMBA KAZI.
HII TAMBIA INALIDHALILISHA SHIRIKA LA TANESCO MOROGORO.
TAARIFA IKUFIKIE HR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepokea kwa utekelezajiAttention Tanesco kisarawe
nguzo ipo katika imeoza haifai ipo majohe bwera karibu na shule ya merlyin uliza kwa ostadh jina la mtoa taarifa Mika Shimba 0621725755
mjinga hajijui
Matumizi yako makubwa sananuwezi kuwa mteja mdogo, angalia wastani wa unit kwa mwezi ni 150 kigezo kikuu ni unit chini ya 75TANESCO naomba uniangalizie matumizi ya mita yangu kama inafaa kuingizwa kwenye daraja la 10000 kwa mwezi
01343377394
Tumeipokea mpendwa mteja tunaifanyia kaziATTENTION TANESCO KISARAWE
Nguzo imeoza waya ziko chini sana hatari
Majohe Bwera nyuma ya shule ya Merlyin uliza kwa Manyala
Mtoa taarifa Manyala 0652 658722
mjinga hajijui
Mtwara sehemu gani mpendwa mteja na namba yako ya simunina week 1 mtwara,kuna shida MNO YA UMEME SIYO KAWAIDA tatizo nini
mtwara mjini