Naona Tatizo La Luku Limerudi Tena, Tangu Aubuh tunanunua Umeme Ila Token Hairud Na Sasa Voda Wamesema Hakuna Huduma.Je umefika ofisi ya wapi? Namba ya simu tafadhali
Mkuu siyo huko tu hadi huku kwetu toka mchana hakuna huduma ya luku , wife ka nunua kwa ttcl hola kwa airtel nako empty , mimi mwenyewe nime nunua kwa maxmalipo nako nI sifuri, hatuwezi kufika na huu ni ukanda mizwaji wa haki kwa wa lala hoiNaona Tatizo La Luku Limerudi Tena, Tangu Aubuh tunanunua Umeme Ila Token Hairud Na Sasa Voda Wamesema Hakuna Huduma.
Tukapange Tena Foleni Ama!! Mnatia Hasira Hata Maneno Machafu Hayawafai Tena.
Kuna tatizo gani, kwanini tunashindwa kununua umeme kwa njia zote za mitandao ya simu na hata kwa Max Malipo?Tunashukuru kwa ushauri taarifa yeyote inayotolewa kuhusu TANESCO inafatiliwa na kufanyiwa kazi kuanzia Makao Makuu hadi eneo husika.Hivyo ondoa shaka
Ushauri wa bure tu...tafuta generator..Tanesco sio wa kutegemea ukiwa unafanya uwekezaji..ofisi zao wenyewe umeme unakatika na wana generator, sembuse ww!Wafanyakazi wa TANESCO kitengo cha IT wameshindwa kazi, watoke wawekwe watu wengine wafanye kazi hapo
Leo mmetuletea hasara kubwa sana, umeme haununuliki kwa njia ya mitandao yote ya simu na hata kwa mashine.
Yaelekea mmeshashindwa kazi kwasababu mlishaonywa sana, biashara za watu zinaharibika huku samaki walio katika freezer wanaoza kwasababu yenu
Mtatusaidia kulipa kodi ya serikali?
TANESCO
Kuna vigezo vya eneo, matumizi na ukaguzi lazima vizingatiwe kujiridhisha¹Ni kwa Nini mteja wenu akiwa anatumia chini ya unit 75 hampelekwi kwenye Yale malipo hayo ambayo hawazidi unit hizo.
Ila akiwa huko akizidi tu inakuwa ni automatic kupelekwa kwa gharama za wale wanaozidi unit 75 kwa mwezi.
Hii imekaaje wahudumu wa Tanesco
Unashauriwa kusubiri miundombinu ikufikie ndio uombe umeme tafadhaliNi wapongeze Tanesco kwa kazi nzuri mnayofanya lkn naomba mnijibu swali langu kabla sijaingia gharama kuwafuata ofisini kwenu. Toka nguzo ya REA ilipo mpaka nyumbani kwangu zitahitajika nguzo 6, je nikipeleka maombi tanesco nitapatiwa umeme kwa hiyo sh 27,000 au kuna gharama nyingine itaongezeka?
Je ulienda Wilaya gani? Namba ya simu iyoandika kwenye fomu yako tafadhaliKuna miss communication kubwa kati ya wizara na Tanesco.
Juz nimeenda kufuatilia invoice ya eneonililopimiwa linahitaji nguzo moja.
Tanesco wanasema sehemu inayohitaji nguzo nisubiri hadi mwaka mpya wa fedha kwa sababu hawana vifaa wala fedha.
Maelezo ya waziri ni kwamba nguzo zipo za kutosha sasa hapa tatizo liko wapi!?
Na hii si mara ya kwanza watendaji wa tanesco kuwa na maelezo tofauti kabisa na yale ya serikali.
NAOMBA UFAFANUZI KATIKA HILI
Mimi nimeambiwa kwa wateja wanaohitaji nguzo..tanesco bado hawajapewa maelekezo..sielewiKuna miss communication kubwa kati ya wizara na Tanesco.
Juz nimeenda kufuatilia invoice ya eneonililopimiwa linahitaji nguzo moja.
Tanesco wanasema sehemu inayohitaji nguzo nisubiri hadi mwaka mpya wa fedha kwa sababu hawana vifaa wala fedha.
Maelezo ya waziri ni kwamba nguzo zipo za kutosha sasa hapa tatizo liko wapi!?
Na hii si mara ya kwanza watendaji wa tanesco kuwa na maelezo tofauti kabisa na yale ya serikali.
NAOMBA UFAFANUZI KATIKA HILI