aliisaac1000
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 407
- 272
Ahsante kwa taarifa je namba ya taarifa ni ya mwezi gani na namba ya simu tafadhaliTANESCO HIVI TUNALAZIMIKA KUJA OFISINI KWENU MARA NGAPI ILI MTATUE KERO ZETU??
Nimeleta malalamiko ya kuharibika kwa meter ambayo tena ni ya zamani ( 04088164605) ambayo hajabadilishwa kwa sababu zisizojulikana na pamoja na kubisha hodi mara 4 ofisini mikocheni kilometer zisizozidi mbili toka sehemu ninakoishi na kupewa RF: 0210 huu unaenda ni mwezi wa Pili hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa- inasikitisha, nafikiria kwenda EWURA ku lodge malalamiko rasmi.
Wateja wote waliofikiwa na miundombinu ya umeme wanafungiwa kwa Tsh 27000, Wateja ambaoa hawajafikiwa na miundombinu kuna miradi inaendelea kwa awamu mbalimbali kuwafungia umeme hivyo hakuna changanoto kwenye muongozo uliotelewaTanesco mbona mko kimya kuhusu ufafanuzi ni mteja yupi anastahili kuunganishwa umeme kwa 27,000 ? Kwani tangu waraka wa MD wa tarehe 4 June 2021 ulioagiza kuwataja wafungiwe kwa 27,000 mameneja walihoji ni mteja wa nguzo ngapi afungiwe kwa gharama hizo hakuna jibu hii imepelekea wateja wote wapya wawekwe pending kusubiri huo waraka wa ufafanuzi. Karibu mwezi unaisha hakuna mteja mpya anayeshughulikia. Kama mwezi mzima hamjaunganishia wateja wapya hamuoni shirika linaingia hasara?
Ahsante kwa taarifa je namba ya taarifa ni ya mwezi gani na namba ya simu tafadhali
Kwa watejwa tajwa inachukua muda gani kufungiwa umeme baada ya kufanya malipo??Wateja wote waliofikiwa na miundombinu ya umeme wanafungiwa kwa Tsh 27000, Wateja ambaoa hawajafikiwa na miundombinu kuna miradi inaendelea kwa awamu mbalimbali kuwafungia umeme hivyo hakuna changanoto kwenye muongozo uliotelewa
Mbona mimi surveyor alikuja kwangu tarehe 11 june 2021akapima ikapatikana mita 76 kutoka kwenye miundo mbinu lakini kakatazwa na Meneja kuwa utaratibu bado au mita 76 iko nje ya miundo mbinu?Wateja wote waliofikiwa na miundombinu ya umeme wanafungiwa kwa Tsh 27000, Wateja ambaoa hawajafikiwa na miundombinu kuna miradi inaendelea kwa awamu mbalimbali kuwafungia umeme hivyo hakuna changanoto kwenye muongozo uliotelewa
Fafanua kufikiwa na miundo mbinu ni mwisho mita ngapi? Hapo hujafafanua, mteja ni yupi ambaye amefikiwa na miundo mbinu ? Ni mita ngapi kutoka kwenye miundo mbinu ndiyo yumo kwenye huo mradi wa 27,000?Wateja wote waliofikiwa na miundombinu ya umeme wanafungiwa kwa Tsh 27000, Wateja ambaoa hawajafikiwa na miundombinu kuna miradi inaendelea kwa awamu mbalimbali kuwafungia umeme hivyo hakuna changanoto kwenye muongozo uliotelewa
Mita namba = 43002630549 button zake hazibonyezeki, kwa hiyo hatuwezi kuingiza tokeni. Takribani mwezi wa pili sasa hakuna msaada wowote kutoka ktk ofisi ya Tanesco tawi la Kibara wilaya ya BUNDA (licha ya kuwataarifu mapema sana).Tunashukuru kwa maoni yako mpendwa mteja
Ahsante kwa taarifa mpendwa mteja wetu, tumepokea kwa hatua zaidiMita namba = 43002630549 button zake hazibonyezeki, kwa hiyo hatuwezi kuingiza tokeni. Takribani mwezi wa pili sasa hakuna msaada wowote kutoka ktk ofisi ya Tanesco tawi la Kibara wilaya ya BUNDA (licha ya kuwataarifu mapema sana).
Namba zangu ni 0623340895
Namba za ofisi ya Tanesco-tawi la kibara ni 0782788802
Tunaombeni msaada wenu, tuko gizani ni mwezi wa pili sasa.
Mkuu, halotel situmiiJaribu Halotel hua haisumbui...
Hivi Luku haina kifurushi cha chuo au yakwako tuu?
Sawa, ngoja nidemkie hukoKwa mawakala vipi kwani?