Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco,
Huku Uyui, Tabora ...Kata ya Goweko na Nsololo umeme umekatika toka juzi 18 saa tatu usiku hadi leo hakuna umeme. Umerudishwa masaa kama matano tu usiku wa kuamkia leo na sasa umekatwa tena.
Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote iliyotolewa kwa wananchi.
Tunaomba msaada
Tusaidie namba ya simu na eneo gani haswa tafadhali tufike hapoHivi mhandisi wenu wilaya ya kilombero mji mdogo ifakara hii huwa haoni au taarifa hana? Hizi nyaya pamoja kuwa na maganda ya plastic lakini bado ni hatari hasa kwa watoto.View attachment 1860873
Waambie waje maeneo ya viwandani minarani. Kwenye transformer yao iliyopo chini. Si zile za juu.Tusaidie namba ya simu na eneo gani haswa tafadhali tufike hapo
Mteja haruhisiwi kufanya chochote kuanzia kwenye miga kwenda njeKuna mpangaji wangu wa Duka aliweka umeme hadi meter kwa Gharama zake, Leo amewaleta mafundi kuundoa,Mpangaji kakorofishana na mkewe, hivyo anasema anatoa umeme wake Dukani. Je ni sahihi?. Umeme huu si ni mali ya Tanesco na alikiutoa si ni serikali itakayokosa mapato, maana mimi mwenyewe Nimekuwa nikilipa Bill, kutokana na frame iliyopo hapo jirani
Ahsante tumepokea taarifaMimi naomba Tanesco mkoa wa Iringa wawasaidie wakazi walipo Igingilanyi uwanja wa ndege ambao walihamishwa upande wa pili wa barabara kuna nyumba nyingi zimejengwa lakini Tanesco Iringa hawajachangamka kuwawekea nguzo na huduma ya umeme. Sasa hivi nyumba nyingi za kisasa zimejengwa upande ule lakini Tanesco ni kama hawaoni na wengine walikuwa na huduma hiyo kabla ya kuhamishwa lakini sasa wako gizani. Idadi ya wanaotumia umeme pale Igingilanyi ni wachache sana na ni wale waliopo pembeni ya barabara kuelekea Dodoma lakini wengi waliopo pembeni hawana huduma. Naomba Tanesco Iringa waende pale Igingilanyi wafanye survey ya nyumba zinazohitaji umeme na kuanza kusambaza nguzo ili wananchi wapate huduma na wao kuongeza kipato na wateja
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco ni moja kati ya mashirika ya ovyo sana.. NIMEMALIZA