Huu umeme ushaniingizia lawama tYari

Hapa nna kimeo tayari na mtu

Ova
 
Nmeambiwa umeme umerudi safi sana

Tulishakula hela ya mtu huku

Ngoja kazi iendelee

Ova
 
Naomba kusaidiwa kwa mambo haya mawili.
1. Kujuwa gharama harisi ya kupunguziwa matumizi kutoka matumizi makubwa kwenda matumizi madogo. Maana jirani hapa akinunua umeme wa sh.2000/= anapewa Unit 14 na mimi nikinunua umeme wa bei hiyo hiyo napewa Unit 4,

2. Nilikuwa naomba nisaidiwe hili tarehe 11/4/2021 nilinunua umeme wa sh.1500 kwa njia ya mtandao wa halotel mpaka leo sijapewa token.
 
Hakuna gharama ya kubadilishiwa kundi la matumizi bali mteja kama anadhani anakidhi vigezo anashauriwa kufika ofisi za eneo lake

Pili tusaidia namba ya mita, tarehe uliyofanya manunuzi na namba ya simu uliyotumia
 
Tarehe 11/04/2021.
Mita 24216671081.
0629510186
 
Tarehe 11/04/2021.
Mita 24216671081.
0629510186
Hakuna manunuzi yaliyofanyika 11/04/2021 badala yake yake tunaona manunuzi yabl tarehe 30 mwezi huo huo umeme wa tsh 1500 na 2000. Tafadhali jiridhe na tarehe
 
Hakuna manunuzi yaliyofanyika 11/04/2021 badala yake yake tunaona manunuzi yabl tarehe 30 mwezi huo huo umeme wa tsh 1500 na 2000. Tafadhali jiridhe na tarehe
Ok, nitakuwa nimechangaya tarehe tu ila huo wa 1500 sikupewa sms ya token, pleas naombeni nisaidiwe.
 
6352-5166-4123-5044-1994 wa 1500

Na

2462-1457-9030-2412-0833

Wa 2000

Ndio manunuzi yaliyofanyika
Ndio, samahani nilikuwa nimesahau tarehe ila ndivyo hivyo umeme wa sh 2000. Nilipewa token
1500 sikupewa token.
 
Makampuni/mashirika mengine yangekuwa active kama TANESCO hapa mambo yangekuwa mswano
jamaa wanajibu kama robot ...

Big up sana

Ova
 
Makampuni/mashirika mengine yangekuwa active kama TANESCO hapa mambo yangekuwa mswano
jamaa wanajibu kama robot ...

Big up sana

Ova
Ni kweli wanajitahidi kujibu na kutatua changamoto ila inaonekana kwenye matawi yao kuna shida kubwa sana, hasa rushwa ndio uhudumiwe nashukuru nimewasilisha hapa leo na nimepigiwa simu leo leo kutoka kwenye tawi husika ila bado changamoto iko pale pale.
 
Je bado changamoto gani unapata mpendwa mteja wetu?
 
Hawa wanazingua sana nasikitika sana hebu fikiria unapeleka maombi surveyor anakuja baada ya miezi miwili kupata control number tena baada ya miezi miwili kuja kufungiwa baada ya miezi minne hivi kweli tutafika?
 
Nimeambiwa ngoja wafuatilie nimeshangaa tena tawi husika wanashangaa surveyor hajaja eti ndio wanaanza kufuatilia
Tafadhali tutumie taarifa zako tena eneo, wilaya na form umerudisha lini na namba ya simu
 
Je bado changamoto gani unapata mpendwa mteja wetu?
Kwani mnashindwa nini kuongeza ufanisi wa kuwafungia umeme kwa haraka wahitaji kuna watu wanalalamika huku wamelipia toka mwezi wa 4 mpaka je mamlaka husika mnawachukulia gani wasimamizi wa matawi yenu wanaokwamisha au kuchelewesha kuwanganishia huduma ya umeme wahitaji?
 
Tafadhali tupatie taarifa za aliyelipia kipindi hicho, wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…