mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Huu umeme ushaniingizia lawama tYari*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANZANIA)
TAARIFA YA KUOMBA RADHI KWA BAADHI YA WATEJA WA MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kaskazini linawaomba radhi kwa wateja wake wa maeneo ya Oysterbay, Kinondoni, Msasani pamoja na maeneo ya jirani kwa kukosa huduma ya umeme kuanzia muda mfupi uliopita.
JITIHADA
Mafundi wetu wanafanya jitihada ili kuweza kubaini chanzo cha tatizo na kurekebisha ili kuhakikisha huduma inarejea katika hali ya kawaida.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza
Tahadhari
Usikanyage wala kugusa waya uliokatika au kulala chini.
Wasiliana nasi kwa simu na.zifuatazo: Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 0716768584/0784768584
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz,
Mitandao ya kijamii
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA- KINONDONI KASKAZINI
27-10-2021
Hapa nna kimeo tayari na mtu
Ova