Ndugu zangu kwanini kuomba kuunganishiwa umeme na Tanesco imekua kama hisani hasa kwa chanika ,wananchi wanaomba umeme tangu mwezi June hadi sasa hakuna chochote
Jiandae kuwapa taarifa zako ufikiwe
TANESCO

Ova
 
Ndugu zangu kwanini kuomba kuunganishiwa umeme na Tanesco imekua kama hisani hasa kwa chanika ,wananchi wanaomba umeme tangu mwezi June hadi sasa hakuna chochote
Mkuu umeme wa kukuunganisha unatoka wapi?,Subiri kwanza mgao uishe.
 
Ndugu zangu kwanini kuomba kuunganishiwa umeme na Tanesco imekua kama hisani hasa kwa chanika ,wananchi wanaomba umeme tangu mwezi June hadi sasa hakuna chochote
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Kule Mkoa wa Mara TANESCO wanataka milioni na nusu kwenye nguzo nne kufikisha kwenye nyumba.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Mwaka wa 3 sasa tunalalamika juu ya nyaya za umeme kulegea zipo chini kiasi kwamba unaweza kuzani ni kamba ya nguo ukaanikaaa na imepita kwenye nyumba yangu tangu 2017 tunaletaa malalamiko ila hamuyatekelezii mnataka watoto wetu waziguse hizo nyaya wafee????[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Tusaidie namba ya taarifa, namba ya simu na wilaya kwa hatua zaidi
 
Tanesco huku wilaya ya ukerewe tumewakosea nini jamani watanzania wenzenu mbona juma moja sasa linapita bila umeme?? Basi mngefanya hata uwe kama mgawo Ila ninyi mmepotea jumla bila taarifa ebu japo basi muwe mnatangaza... Aice mnakera sana sidhani kama ingekuwa huko kwenye majiji mngefanya haya madudu
 
Tanesco miundo mbinu yenu ni mibovu sana, yaani inakeraa huku mtaa wa Makamba msakuzi umeme unawaka kama indicator za fuso tangu asubuhi hadi mida hii, mko seriously kweli kihuduma?
 
TANESCO
Najaribu kuingiza token kwenye mita, lakini baadhi ya namba hazibonyezeki.
Namba za mita ni za kutouch, Naomba kusaidiwa
Mita Namba 43002563450
 
Uliandika namba hii ya simu? Tusaidie mwezi... mkoa... na namba ya simu uliyokuwa umeandika
Namba ya simu ni iyo 0764097826
Mkoa . Dar es Salaam
Wilaya . Ilala
Kata ya ukonga
Mtaa wa Mazizini
Tumeripoti tatizo toka 2017
 
Chonde chonde kwa wakazi wa Mwanza, mgawo ndio umeanza RASMI muda huu.. katika Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza..umeme ushakatwa na utarejea jioni. Jianadaeni na mshumaa Huko wa Nyamagana..
Nawaskitikia wakazi wa Geita, Sengerema na Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…