Chonde chonde Kwa wakazi wa mwanza mgao ndio umeanza RASMI muda huu..ktk wilaya ya ilemela mkoani mwanza..umeme ushakatwa na utarejea jioni. jianadaeni na mshumaq Huko wa nyamagana..
..Nawaskitikia wakazi wa geita sengerema na chato
Sisi wa usagara jana walikata mapema mno ukarudi saa 12 jioni
 
Chonde chonde kwa wakazi wa Mwanza, mgawo ndio umeanza RASMI muda huu.. katika Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza..umeme ushakatwa na utarejea jioni. Jianadaeni na mshumaa Huko wa Nyamagana..
Nawaskitikia wakazi wa Geita, Sengerema na Chato
Wewe umehamia Mwanza jana eti? Mgao wa umeme upo tangu Octoba, Makamba alianza kutudanganya kuwa ni planned maintenance hadi saa tisa uziku kulikuwa na matengenezo! Shame Makamba!
 
Wapiga kura wa mwendazake wapo gizani, utashangaaa kanda ya ziwa inakuwa na mgao wa maji wakati wana ziwa karibu
 
Ukerewe toka ijumaa umeme ulikatika, umerudi usiku wa kuamkia leo (IJUMAA-ALHAMIS)
 
Wapiga kura wa mwendazake wapo gizani, utashangaaa kanda ya ziwa inakuwa na mgao wa maji wakati wana ziwa karibu
Kunta...mi nipo visiwani huku ukerewe sasa huku sio mgao ila ni mgawanyo, juma limepita sasa hakuna umeme hawa wahuni wa tanesco wanazurura tu na magari yao... Huku nahisi sio tz sasa kisiwa kimezungukwa na ziwa ila maji hawa idara husika wamelala tu usingizi wa pono
 
Songea ni sehemu inayoongoza kukata kwa umeme, kila siku mgao na hakuna hata kiwanda kimoja. Mgao huu ws kila siku ni kero na sijajua PERCENTAGES ngapi TANESCO wanapata kama faida kwa umeme wa mgao. Sijajua kilio hichi kinaisha lini
 
Hata morogoro yaani umeme unakata sana

Na hata ukija wanakua wanaukata kata sana yaani as if mtu anaewasha taa na kuzima sijui ndio nini yaani

Hii nchi ngumu sana

Sijui tanesco hawaoni kama.wanakula hasara
 
TANESCO je, kuna tatizo la kununua umeme kwa mtandao tena leo? Kila mtandao ninaojaribu kutumia kununua patupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…