Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 479
- 4,894
Tafadhali pokea umeme wako ulionunua tarehe 31/01/2022
" 1775-9675-4469-0654-1852"
&
=" 5766-3194-0509-6091-5788"
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Tafadhali tunaomba radhi ni 2021 na sio 2022,Tanesco ahsante ila kweli mpo serious kabisa?
Kuna kitu kimewavuruga sio bure!!
Mbona Tarehe 31/01/2022
Mimi sijanunua umeme?
nadhani hata haijafika pia hiyo Tarehe
Kweli sio Jumatatu ijayo hiyo?
coz ndiyo kwanza Leo Tar 27/01/2022
Kwa hapa nilipo Lakini
Japo sijui kwa wengine huko walipo ni Tarehe ngapi!!!
Binafsi naulizia umeme nilionunua Tarehe 31/08/2021
Kwa mita namba:
43000245977
Hii post nimeishia kucheka tu.Unaelimu gan!?
Ndugu Mteja.Jina Japhet Edward Hamaro
Eneo Mabwepande Mji Mpya
Wilaya Kinondoni
Namba ya simu 0768 590175
Tatizo Nimelipia Kuunganishiwa umeme Toka tarehe 06/11/2021 hapahitajiki hata nguzo lakini mpaka Leo sijafungiwa na pia nilisharipoti Tena hapa lakini bado sijapatiwa ufumbuzi.
Ahsante sana
Duuh!!! unaelimu gan na wewe!?Hii post nimeishia kucheka tu.
TANESCO ana elimu gani?
Kwa nn mm tatizo langu tanesco hamlitatui Hadi sekunde hiiTafadhali muite fundi wako wa umeme aangalie tatizo ndani ya nyumba
Tunasubiri kuona ukweli wa hii kauli.Huku Kibamba tunaambiwa mita hamna,Sasa hiyo Target ya tarehe 30 Machi mtaifikia bila mita?Ndugu Mteja.
Tunakujulisha kuwa ,Wateja wote waliofanya malipo kabla ya mabadiliko ya bei yaliyotangazwa tarehe 5/02/2022 wataunganishwa umeme kabla ya tarehe 30/03/2022. Hakuna ongezeko lolote la gharama wanazopaswa kulipia.
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Naomba ufafanuzi wa tariffSalamu,nimepiga simu hapa Tabora kuna tatizo Tanesco Wamegoma.Kipindi cha magufuli akiwa hai walikua wanakuja.Hii sio haki
Naomba ufafanuzi kuhusu tarrifNdugu Mteja.
Tunakujulisha kuwa ,Wateja wote waliofanya malipo kabla ya mabadiliko ya bei yaliyotangazwa tarehe 5/02/2022 wataunganishwa umeme kabla ya tarehe 30/03/2022. Hakuna ongezeko lolote la gharama wanazopaswa kulipia.
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Nilikuwa nataka kupata ufafanuzi wa tariff kuhusu matumizi makubwa na madogo maana niliambiwa kwamba hambadilishi tariff ni kweli au si kweliTafadhali uliza swali na namba yako ya mita pia tukujibu kwa ufasaha
Je uliambiwa na nani? Namba yako ya kita ni ipi tafadhali tukujibu kwendana na taarifa sahihiNilikuwa nataka kupata ufafanuzi wa tariff kuhusu matumizi makubwa na madogo maana niliambiwa kwamba hambadilishi tariff ni kweli au si kweli
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ya kita ndio nini afisa habari wa january!?Je uliambiwa na nani? Namba yako ya kita ni ipi tafadhali tukujibu kwendana na taarifa sahihi
Niliambiwa na watu wanaokuja kufunga mita kwa hiyo naomba kwanza mnithibitishie hilo kweli si kwelo.Je uliambiwa na nani? Namba yako ya kita ni ipi tafadhali tukujibu kwendana na taarifa sahihi
Upo utaratibu sahihi wa kuweka wateja kwenye makundi yanaendana na matumizi yao, hivyo haupaswi kuwa na hofu kwa kuwa manunuzi yako yanaonekana kwenye mfumo, Weka namba yako ya mita na swali kuhusu mita yako tafadhaliNiliambiwa na watu wanaokuja kufunga mita kwa hiyo naomba kwanza mnithibitishie hilo kweli si kwelo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Niliambiwa na watu wanaokuja kufunga mita kwa hiyo naomba kwanza mnithibitishie hilo kweli si kweli
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Baada ya kutumia umeme kwa muda gani unaweza kuomba kubadilishiwa tarrif?Upo utaratibu sahihi wa kuweka wateja kwenye makundi yanaendana na matumizi yao, hivyo haupaswi kuwa na hofu kwa kuwa manunuzi yako yanaonekana kwenye mfumo, Weka namba yako ya mita na swali kuhusu mita yako tafadhali