Ndugu mpendwa Mteja wetuTunaomba msaada, Leo ni Siku ya nne hatuna umeme
Kijiji: michungwani
Kata: Mabalanga
Wilaya: Kilindi, mkoa wa TANGA.
chanzo: hitilafu ya transformer iliyosababishwa na mtu anayesadikika ni mlevi. hata kama upelelezi haujakamikika, Tunaomba mtuwashie umeme kwanza, tunateseka sana. Tafadhali
Pamoja na maelezo yote hayo yaliyojitosheleza Bado unacopy na kupest Hilo jarida lakoNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Rudisheni umeme dumila mnakeraumeme wa Mwisho ni wa tarehe 21/02/2022 ambao ni
Untitled Page
Untitled Page
Asante kwa majibu.umeme wa Mwisho ni wa tarehe 21/02/2022 ambao ni
Untitled Page
Untitled Page
Admin wa hii thread ya TANESCO hujielewi kabisa. Details nimezisema zote Bado unataka ni zirudie, kwani hapasomeki?! Acha utani siku ya SITA upo gizani wewe unaleta utoto hapaNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Ndugu mpendwa Mteja wetumbona mnakata kata umeme sana Mvuti ?
ni siku ya 3 leo ndani ya wiki mnakata asubuhi hadi usiku, bila taarifa
em kuweni waungwana
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
wapumbavu nyinyi , siku ya pili hatuna umeme mmekalia porojo na ujinga ujinga ?Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Maharage Chande amefungulia dunia fursa za uwekezaji kwenye eneo la uzalishaji umeme nchini kwa wawekezaji mbalimbali duniani katika mkutano uliofanyika Leo Feb 27 kwenye ukumbi wa Jumeirah Beach Hotel ulioko jijini Dubai.View attachment 2133080
Usiwe na shaka tupo kukuhudumia, tafadhali tujulishe tatizo ni nini? Wilaya ,eneo na namba ya simu kwa hatua zaidiwapumbavu nyinyi , siku ya pili hatuna umeme mmekalia porojo na ujinga ujinga ?
nakutumia taarifa hakuna majibu ?
hamna msaada wowote hapa jamvini
Ndugu MtejaTanesco, mie ni mwananchi naishi kigamboni karibu na hospital ya vijibweni maeneo ya makaburi ya msafwa... Huku tuna tatizo la low voltage... Yaan imagine kuna single phase ndo inazinguka nyumba zote huku mtaan.. nimeweka picha ikionyesha lll kuonyesha uhalisia.. yaan volts hufika mpaka 130v,View attachment 2133390
Ndugu Mteja,Jina Japhet Edward Hamaro
Eneo Mabwepande Mji Mpya
Wilaya Kinondoni
Namba ya simu 0768 590175
Tatizo Nimelipia Kuunganishiwa umeme Toka tarehe 06/11/2021 hapahitajiki hata nguzo lakini mpaka Leo sijafungiwa na pia nilisharipoti Tena hapa lakini bado sijapatiwa ufumbuzi na madai yenu mtafunga kabla ya tarehe 31 march lakini mbona kama Mimi kufungiwa umeme inafikia kuchukua miezi minne baada ya kulipia kitu ambacho sio sahihi?
Ahsante sana
AhsanteNdugu Mteja,
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi, Namba yako ya ombi la umeme ni 511221-08067
TANESCO huduma kwa Wateja
Makao makuu
0748550000