Shirika la umeme limenipa hasara sana mwaka jana,ila sasa naona hali si mbaya
 
It's sad mkuu ila tatizo la umeme ni cancer tena ipo stage 4 ,nchi zote za SADC except Botswana, umeme ni shida mkuu, siwatetei tanesco ila ndiyo yale yale viongozi weusi ni shida ,tofauti hapa Tanzania unakatika bila taarifa na hakuna muda maalum wa umeme kukatika, ila SADC tatizo hili mkuu ni kote
 
Ulikuwa unaishi nchi gani kabla ya kuja bongo mkuu?😂😂😂
Kinachonikeraga huu umeme unakatika hata dakika kumi haziishi mara huooo! Umesharudi tayari. Sasa unabaki unajiuliza,walikata kwa hizi dakika kwa lengo gani kama siyo hujuma kama usemavyo?
 
Kweli hakuna hata taarifa?!
 
Mleta mada nadhan umeskia, maeneo kibao yana umeme hapo dar mda huu
 
Tabata kimanga,maji chumvi,ubungo riverside,hostel,external na maeneo yabjirani upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…