TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Shirika la umeme limenipa hasara sana mwaka jana,ila sasa naona hali si mbaya
 
It's sad mkuu ila tatizo la umeme ni cancer tena ipo stage 4 ,nchi zote za SADC except Botswana, umeme ni shida mkuu, siwatetei tanesco ila ndiyo yale yale viongozi weusi ni shida ,tofauti hapa Tanzania unakatika bila taarifa na hakuna muda maalum wa umeme kukatika, ila SADC tatizo hili mkuu ni kote
 
Ulikuwa unaishi nchi gani kabla ya kuja bongo mkuu?😂😂😂
Kinachonikeraga huu umeme unakatika hata dakika kumi haziishi mara huooo! Umesharudi tayari. Sasa unabaki unajiuliza,walikata kwa hizi dakika kwa lengo gani kama siyo hujuma kama usemavyo?
 
jamani Ni kweli CHANGAMOTO zipo lakini naona hii imezidi kwani, kiangazi tuliambiwa sababu ni kupungua kwa vina vya maji kutokana na ukame na uchepushaji wa mito. Sasa matatizo ya kukatika kwa umeme ni kiufundi au hujuma? Kweli tutakuja kuendelea kweli? Na waheshimiwa mnaona au mnaishi dunia ipi?
Kweli hakuna hata taarifa?!
 
Mleta mada nadhan umeskia, maeneo kibao yana umeme hapo dar mda huu
 
Tabata kimanga,maji chumvi,ubungo riverside,hostel,external na maeneo yabjirani upo
 
Back
Top Bottom