Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Harakati za kubinafsisha shirika zinaendelea kwa speed[emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu Iselamagazi hamna umeme usiku huu. Vipi eneo lako upo au haupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harakati za kubinafsisha shirika zinaendelea kwa speed[emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu Iselamagazi hamna umeme usiku huu. Vipi eneo lako upo au haupo?
Hujawasikia Bakita wamekataza kufamasihara na kiswahili[emoji1]YOMBO ndo umerudi, walikata tangu asubuhi.
FAMCHEZO nini na awamu ya 5B
MBAGALA upoMuda huu Dsm karibia yote haina umeme
Makamba anafahamu au ndo yale mambo yake ya kutengeneza matatizo ya umeme ili apewe fedha za ukarabati na matengenezo yasokwisha?
Taifa la hovyo kweli hili
Kweli hakuna hata taarifa?!jamani Ni kweli CHANGAMOTO zipo lakini naona hii imezidi kwani, kiangazi tuliambiwa sababu ni kupungua kwa vina vya maji kutokana na ukame na uchepushaji wa mito. Sasa matatizo ya kukatika kwa umeme ni kiufundi au hujuma? Kweli tutakuja kuendelea kweli? Na waheshimiwa mnaona au mnaishi dunia ipi?
hahahahah, hao BAKITA wenyewe wafamchezo na vijana na vijana wa hovyo.Hujawasikia Bakita wamekataza kufamasihara na kiswahili[emoji1]
K’ Njaro huku hamne moto aisee.Huku kwetu Iselamagazi hamna umeme usiku huu. Vipi eneo lako upo au haupo?