Kwani Tanesco zamani mkitaka kukata umeme mnatoa report siku hizi shirika halina maafisa mawasiliano?
Ona Leo kariakoo yanavyonguruma majenereta utadhani viwandani lol aibu tupu
Kweli uchumi utatengemaa au ndo mnatuchonganisha na mamlaka nyie mnakaa pembeni kusikilizia watu wanasemaje?
 
Umeme tangu asubuhi hakuna umeme Tanga. Sawa tupeni taarifa prior mtu ajiandae na kesho yenye giza.

Kumekuwa na on and off ya umeme kwa wiki hivi.
 
Umeme tangu asubuhi hakuna umeme Tanga. Sawa tupeni taarifa prior mtu ajiandae na kesho yenye giza.

Kumekuwa na on and off ya umeme kwa wiki hivi.
Juzi walikata Dar kuanzia saa 12 asubuhi mpaka 12 JIONI kua mpole mkuu watarudisha JIONI
 
Mshakata tena mbona hivyo Tanesco?
Soko kubwa la Africa mashariki na kati linakuwa gizani?
Kuna haja Tz ipate mwekezaji kwenye umeme ambaye atatoa ushindani kwenu labda kutakuwa na mabadiliko
 
Mshakata tena mbona hivyo Tanesco?
Soko kubwa la Africa mashariki na kati linakuwa gizani?
Kuna haja Tz ipate mwekezaji kwenye umeme ambaye atatoa ushindani kwenu labda kutakuwa na mabadiliko
Mpaka saa 12 JIONI
 
Asubuhi asubuhi yote hii mnakata umeme, jana mlikata ukarudi usiku, mnategemea kazi zetu zinazotegemea umeme zifanyike vipi? Mnataka mtulishe mawe nyie sio bure 😔
 
Shida ya watanzania tuna ubinafsi na wivu, hivi na wewe hapo ulipochukulia huo umeme hakuna nguzo? pia kutoka huko kwenye chanzo cha umeme mpaka hapo ulipochukulia kuna nguzo ngapi? ungeambiwa ulipie na hizo nguzo ungejisikiaje?

Kwaiyo unachotaka na atakayeunganisha kwenye nguzo ambayo umeshazilipia naye azilipie tena? Mwisho wa siku ungelalamika Tanesco ni wezi wanatoza watu pesa za nguzo ambazo zimeshalipiwa.

Mkuu kama una uwezo wa kulipia nguzo wewe lipia, sidhani kama mwingine akiunganishiwa kwenye hizo nguzo ataathiri umeme kwa upande wako.

Nguzo ingefanywa kua mali ya mteja ina maana hata siku ikiharibika/kuoza itabidi ulipie tena lakini ikitokea hivyo unabadilishiwa bila kutozwa pesa.
 
Umeme kwaheri zake, The whole Tabata Kisiwani is full of Dark right now.
 
Saivi mnakata umeme mpk mnakera yani mmetugeuza binam zenu au vp slasala ma gengeni na hii Lain ya umeme wa Zanzibar mnajua kuzionea hamtaki tufanye kazi ama nopale mnapojiskia kushusha batani mnazingatia pasipo taarifa
 
Habari ndugu Fabiani asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kufahamu kama bado mnapata changamoto hiyo kwakuwa wataalamu wetu walifanyia kazi changamoto zilizo jitokeza maeneo hayo, kama bado changamoto ipo tafadhali tunaomba mtufahamishe tufanye ufuatiliaji zaidi.^OK
 
Tanesco punguzeni ujinga
Mnakata umeme kila siku tutafanyaje kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…