TanescoJana asubuhi saa 1 mmekata umeme mkarudisha saa 1:30 usiku baada ya dakika 20 mkakata tena mkarudisha saa 5:15 usiku leo asubuhi mmekata tena mnataka tungoe hizi nguzo ama, kama hamna nia ya watu wa huku kuwa na umeme si mtuambie tujue cha kufanya acheni upumbavu
Mvua ina nyesha ila maji yamegoma kuingia mtera, hayataki.Hivi hizi mvua zinazonyesha hazijafika mtera kweli? Inakuwaje tuna mgao mkali katikati ya mafuriko?