Ngasere45
Senior Member
- Dec 31, 2022
- 148
- 566
Jana asubuhi saa 1 mmekata umeme mkarudisha saa 1:30 usiku baada ya dakika 20 mkakata tena mkarudisha saa 5:15 usiku leo asubuhi mmekata tena mnataka tungoe hizi nguzo ama, kama hamna nia ya watu wa huku kuwa na umeme si mtuambie tujue cha kufanya acheni upumbavu