Hivi Hawa viongozi wa CCM ndo kusema wamefeli kabisa kumalizia tatizo la Umeme apa nchini.
Nashindwa kuelewa apo awali tuliambiwa ukosefu wa Mvua ndo chanzo Cha Umeme kukosekana nchini aya Sasa Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema akatukalia Mvua ktk pande zote za nchi lkn Bado tatizo la Umeme liko palepale.
Nafikiri Kuna haja ya kuifanyia reformation iyo wizara ya Nishati...Kuna harufu ya ufisadi na rushwa uko km siyo hujuma kwa nchi yetu.
Doto naye kashindwa mpaka Sasa bilabila.
 
Haina haja ya kuuliza eneo.
Kwa kifupi nchi nzima ipo gizani.
Maeneo mengi ya nchi hii yana mgao wa kimya kimya wa umeme.
Mataga wanazingua sana.
Halafu Makonda anazurula nchi nzima na mazombie yanakusanyika eti kutatua kero za wananchi!
Wamwambie hapa umeme hauwaki waambie wawashe waone kama anaweza.
NCHI IMEWASHINDA HAWA MACCM

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Makonda akiwafokea mnasema anavuka mpaka wa kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…