lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Mita namba zinazoanzia 24210 zimesha expire haziwezi Tena kununua umeme wala kupokea token hivyo wasiliana na TANESCO Mahalia waje wakubadilishie mitaKuna tatizo nyumbani kwangu MBAGALA NZASA KWA MWARABU MTAA WA ATALANTA H/NO 10 .
MITA NO 24210335501 imegoma kununua umeme leo ni siku ya Pili.
Walipita mafundi wa Tanesco kiasi miezi miwili imepita na kuahidi kuibadilisha lkn hawakubadilisha NAOMBA msaada.
Niko mkoani Morogoro nimemtuma mtu, amekwenda kutoa taarifa mara mbili na leo amekwenda tena. Wanapokea taarifa HAKUNA mrejesho.Mita namba zinazoanzia 24210 zimesha expire haziwezi Tena kununua umeme wala kupokea token hivyo wasiliana na TANESCO Mahalia waje wakubadilishie mita
Jibu hilo la nguzo hamna lipo kila sehemu na hii ndiyo chakula yao. Wape hela (rushwa), nguzo unapata siku hiyohiyo. Najua TANESCO mtakanusha ila naweza kuwathibitishia tuweke dau niwakamatishe za takukuru.TANESCO mnafanya kazi nzuri na hongereni, lakini Kuna mambo yanashangaza kweli, Milani Morogoro, kata ya Mkundi, mtaa wa mawasiliano, mumeleta umeme, a couple of weeks, wateja wengi wamehitaji umeme, ajabu wamefikishiwa wachache tu kwa madai kwamba "NGUZO HAZIPO" yaani watu wa block Moja, wapo tayari kulipia huduma then Tanesco hauna NGUZO?
Inafikirisha sana kwamba, pamoja na miti mingiiii tuliyo nayo, bado tunakosa NGUZO???? Wakati huo huo, Kuna sera mpya 2024-2034 inataka watu tuache kupikia mkaa, ikiwa nishati ya umeme inashindwa kufikisha kwa wananchi kwa Wakati, naachaje kutumia mkaa?
Tumeomba umeme tangu 2022, ndo tumeletewa NGUZO Leo, na bado kati ya watu 130 tuliohitaji, eti wamefikishiwa huduma watu 24 tu, are we really serious???? TANESCO
Natamani niungane na wewe, ila wao wameshika mpini viziwi na bubu wa shida zetuNyie kenge mna maana gani kutukatia umeme na joto hili la dar?
Hebu rejesheni umeme haraka kabla hatujalaumiana, shubaamit.
Weka umeme kama wa 30,000 au 20000 maana hizo unit 10 umekopeshwa so jnatakiwa ulipe then uongeze zaidiQhsante TANESCO leo, nimepata huduma ya Mita mpya baada ya ile ya zamani kuondolewa katika mfumo.
Nimew3kewa UNIT 10. naomba maelekezo maana kila nikijaribu kununua umeme kwa sasa HAUKUBALI.
Wameshatuona ni mazezeta bin makondooNatamani niungane na wewe, ila wao wameshika mpini viziwi na bubu wa shida zetu