tgraceford
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 113
- 48
Tunaomba namba yako ya simu na namba ya taarifa mpendwa mtejaBADO NIMELALA GIZANI KWA SIKU YA 4 LEO TURUDISHIENI UMEME NINYI TANESCO................... KULE KUNDUCHI MTONGANI UMEME UNAWAKA BAADHI YA NYUMBA NA NYINGINE UMEME UNAWAKA NA KURUDI MNATUOZESHEA VITOWEO VYETU NA BIASHARA SASA HAZIFANYIKI HATUWEZI KUNYOOSHA HATA NGUO ZA KUJIA MAOFISINI KWANI KAZI YENU HASA NINI MNASEMA MPAKA MAJI YAKAUKE KWAHIYO KIPINDI HIKI CHA MVUA MOAKA KIISHE NDO MTAREJESHA UMEME?
Inategemea na aina ya mita,Nikinunua LUKU naweza nikakaa na token kwa muda gan bila kuzitumia?
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Unaweza kutumbia mita namba, kinachotokea ukiingizaNikinunua LUKU naweza nikakaa na token kwa muda gan bila kuzitumia?
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Mita hizi zenye kisimbuz unakaanacho ndani, naomba kujuzwa hata minimum timeInategemea na aina ya mita,
Mkuu namaanisha naweza nunua token leo nikazitumia baada ya wiki moja?Unaweza kutumbia mita namba, kinachotokea ukiingiza
Hivi mmeajiri mafunďi kwaajili ya kukata umeme tu? maana hicho kitengo mmefanikiwa kwa asilimia 100...jana tangu alfajir mmkata umeme mķarudisha mchana mkakata tena mkarudisha usikù tena ukawa unawaka kama indicator ya gari mpaka mmeniunguizia Tv niliyonunua kwa gharama kubwaa.SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
MAENDELEO YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
Tunawataarifu Wateja kuwa Wataalamu wetu bado wanaendelea na kazi Kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi asilia cha Kinyerezi I.
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.facebook/tanescoyetultd /twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
31/10/2017
Ni vyema mkatuambia kuna mgao wa umeme. Si asubuhi sio usiku mnatukatia tu umeme.SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
MAENDELEO YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
Tunawataarifu Wateja kuwa Wataalamu wetu bado wanaendelea na kazi Kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi asilia cha Kinyerezi I.
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.facebook/tanescoyetultd /twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
31/10/2017
Hahaha mbona umekimbia ghafla hvyo ?,, inaonekana wewe ni mwizi wa umeme ehShukran na Akhsanteni sana kwa majibu na ufafanuzi wenu