HIVIII...MMESHAWAHI KUSEMA KUWA MNAUPUNGUFU WA UMEME???Ndugu mteja
Kila mahali umeme unapokatika kuna kuwa na sababu maalumu na inatangazwa kwa wateja ndio maana tumekuomba taarifa za eneo lako unalolalamikia, namba yako ya simu tukusikilize. Tupo kukusikiliza na kukupatia ufafanuzi muda wote
me sio mpendwa wako ni mteja wako katika kerrroo za taneskoTunashukuru sana kwa taarifa, tumezipokea mpendwa mteja
yaani MNAKERRAAA KULIKO MAELEZO.. tutapata tu dawa ya kerro yenu soonTunashukuru sana kwa taarifa, tumezipokea mpendwa mteja
warudishe IPTLHivi tanesco mna shida gani kukata Umeme muda usiku huu SAA 00:14 au unataka watu waibiwe na kufanyiwa vitu vya kialifu maeneo yenyewe haya hata police wapo mbali
Eneo gani haswa ulilolisema na namba yakk ya simu tafadhaliUmeme unaosambazwa katika wilaya za Kilwa,Rufiji na Kibiti umekuwa ukikatika katika mno
1. Nini chanzo cha kukatika katika Umeme huo?
2. Tanesco mnampango gani wa kuliondoa tatizo hilo?
Maeneo yote ya wilaya hizo mkuuEneo gani haswa ulilolisema na namba yakk ya simu tafadhali
We jamaa sio mstaarabu, hata kama umekwazika kuwa mstaarabu basi ili shida yako iweze kutatuliwa au upewe ufafanuzi.amesema maeneo ya wilaya za kilwa kibti kwa ujumla
greater G
Mkuu uchukua muda gani kwa mteja kuunganishiwa umeme toka alipotuma maombi ya kuunganishiwa,na itamgharimu kiasi gani cha pesa iwapo zitahitajika nguzo 2 au 3 hadi umeme umfikie site kwake?Tunaomba namba yako ya simu