Aisee mie niliomba kufanyiwa survey mwezi wa nne mpaka leo ni dana dana tuu na nililipia fomu sh elfu 15, Cha ajabu Eng alienda mwezi uliopita afu kaniambia eti umeme single Phase kwa distance ya 1km haufiki. haikuniingia akili kabisaaJe mlitoa taarifa?mkapewa namba ya taarifa ngapi na namba yako ya simu
Aisee mie niliomba kufanyiwa survey mwezi wa nne mpaka leo ni dana dana tuu na nililipia fomu sh elfu 15, Cha ajabu Eng alienda mwezi uliopita afu kaniambia eti umeme single Phase kwa distance ya 1km haufiki. haikuniingia akili kabisaa
1.tuna whatsApp group kwa kila eneo linalohudumia wateja wa eneo husika mfano Tegeta, Mikocheni, Mbezi nk ni ngumu kuwa na whatsApp ya Nchi nzima kwani namba ya members haizidi 256.TANESCO,
Nawapongeza kwa ubunifu(creativity), tuliyoyaomba yanaonekana hata kama mtakuwa na matatizo lakini tusaidiane tujenge nchi.
Mimi nina ushauri na maswali yafuatayo:
1)Nashauri muweke number ya simu ya WhatsApp kwa sababu mimi niko nje ya nchi lakini nikijibiwa kwa whatsApp ujumbe nitaupata na nyinyi ni gharama nafuu hata kwa muda wenu.
2)Mimi nikiwa nje ya nchi mita ya Luku iliharibika-eneo la Kijitonyama,mafundi wakashindwa kuitengeneza lakini baada ya week 2 nikapewa nyingine ikiwa kwenye jina la mteja mwingine, je kuibadili kuna gharama?Na je naweza kupata mita ya luku mpya?maana hii tuliichukua lakini ilikuwa na tatizo la button moja.
3)Kwa mfano kwenye case mteja wenu kama alinunua nyumba ambayo kwa bahati mbaya muuzaji wa nyumba alimndanganya na hakumueleza kuwa TANESCO wanamdai umeme wa zaidi ya million 3.Je kuna utaratibu wa kumsaidia huyu mteja mpya kama ameshindwa kumpata huyo muuzaji na yeye anataka umeme?
Ahsanteni na kazi njema,
Rakey,
katabazi@hotmail.com
Tumelipokea kwa hatua zaidiNaomba kujibiwa umeme Goba Kinzudi ubalozi wa Lipira, tunateswa sana na kitendo cha umeme kukatika katika na kuwa na low voltage. Kwa nini mnatufanyia hivyo jamani, tumewakosea nini? Hatuna majenereta na inakuwa ngumu sana kuishi bila umeme. Tusaidieni please muongeze nguvu ya umeme
Ndugu mpendwa mtejaTANESCO imekuwa ni kawaida kwa wakazi wa Pugu,kigogo,kipawa,buyuni,chanika, kukosa umeme mara kwa mara, ni kama tuko ktk mgao wa muda mrefu,Umeme unakatika kuanzia asubuhi na unarudi jioni,na wiki hizi umeme umekuwa unakatika usiku wa maneno mara kwa mara,tatizo ni nini haswaa? Mbona kuanzia jeshini mpaka gongo la mboto umeme unakuwepo?
Ndugu mpendwa mteja
Taarifa imekuwa ikitolewa mara kwa mara dhidi ya eneo lako
Heri sisi wa vijijini,taa ya Mungu iko angani na jana imetoka tena!wapi mkwajungoma tukaserebukeTanesco tuambieni kama kuna mgao wa umeme tupe ratiba tujiandae na nishati hasa mwanga mbadala.