Bonnie Kattende
Member
- Feb 18, 2015
- 9
- 3
Jamani naomba kujua kuhusiana na suala la nyumba kuwa na deni la umeme then wapangaji wakilipia kwa LUKU hawapati Units stahiki!ni namna gani mpangaji anaweza epuka hiyo hali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani naomba kujua kuhusiana na suala la nyumba kuwa na deni la umeme then wapangaji wakilipia kwa LUKU hawapati Units stahiki!ni namna gani mpangaji anaweza epuka hiyo hali?
Sidhani kama ingekuwa na deni mngeendelea pata umeme ila ninachofikiria ni kwamba luku yenu iko kwenye tarrif ya watumiaji wa zaidi ya unit 75 kwa mwezi hivyo ukinunua umeme mnapewa unit ndogo.Jamani naomba kujua kuhusiana na suala la nyumba kuwa na deni la umeme then wapangaji wakilipia kwa LUKU hawapati Units stahiki!ni namna gani mpangaji anaweza epuka hiyo hali?
Unachokisema ni sahihi kabisa.tetesi ni kwamba nyumba ilikuwa na denibkabla ya kufungwa LUKU.so labda tufatilie hiyo tarrif yaweza kuwa ndo shida.Sidhani kama ingekuwa na deni mngeendelea pata umeme ila nimachofikiria ni kwamba luku yenu iko kwenye tarrif ya watumiaji wa zaidi ya unit 75 kwa mwezi hivyo ukinunua umeme mnapewa unit ndogo.
Mfano umeme wa 5000 utapata unit 14 na point hivi wakati mwenzako anapata unit 40 hivi.
Ushauri ni kupunguza matumizi yenu ya umeme kwa miezi sita mfululizo yawe chini ya unit 75 kwa wezi kisha watembelee tanesco watawabadilishia tarrif
Asante next time ntafanya ivo.Ungewatag Tanesco maana wana ID humu wangekupa majibu ya uhakika.
Nipo mbeya.Wapi uko mkuu?
Nyumba zima tunaishi wapangaji ndg ynguOmba luku nyengine ya kwenu wapangaji tu
Nipo mbeya.
Iko hv,wakt wa utumiaj wa mita wengi walikua hawalipi bill zao sasa baada ya mfumo wa luku kuingia yale madeni yanahamia uku,mm nilikaa nyumba inadeni 1.5m sasa kinachotokea kila unaponunua umeme wanakata nusu ya ela hiyo kulipia deni,tulikua tunaweka laki ila tunapata wa elf 50 nikawa namshikiza mzee mwenye nyumba either aongezee laki na yy ili sisi tupate umeme wa laki kamili kama matumiz yetu yalivyo au akalipe hilo deni tanesco,mwisho wa siku alikua muelewa akaenda tanesco kulipa deni loteSidhani kama ingekuwa na deni mngeendelea pata umeme ila ninachofikiria ni kwamba luku yenu iko kwenye tarrif ya watumiaji wa zaidi ya unit 75 kwa mwezi hivyo ukinunua umeme mnapewa unit ndogo.
Mfano umeme wa 5000 utapata unit 14 na point hivi wakati mwenzako anapata unit 40 hivi.
Ushauri ni kupunguza matumizi yenu ya umeme kwa miezi sita mfululizo yawe chini ya unit 75 kwa mwezi kisha watembelee tanesco watawabadilishia tarrif
Pole sana,tanesco wana ujinga huo sana tu.wanataka utoe hela kidogo ndio wakufuate.sasa watengenezee mazingira hayo ila washirikishe maafisa wa Takukuru ili na ww uwakomeshe.Hapa nyumbani Umeme unakatika Mara nyingi,Lakini kwa majirani tuliounganishwa kwenye nguzo moja wao Umeme unawaka. wikendi Umeme hauwaki kabisa.Nimeenda Tanesko Mara ya nne Leo wanatoa ahadi lakini hawaji kunisaidia.Hii wiki ya pili Sina umeme.niko Chato Geita.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOPole sana,tanesco wana ujinga huo sana tu.wanataka utoe hela kidogo ndio wakufuate.sasa watengenezee mazingira hayo ila washirikishe maafisa wa Takukuru ili na ww uwakomeshe.