TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Jamani naomba kujua kuhusiana na suala la nyumba kuwa na deni la umeme then wapangaji wakilipia kwa LUKU hawapati Units stahiki!ni namna gani mpangaji anaweza epuka hiyo hali?
 
Jamani naomba kujua kuhusiana na suala la nyumba kuwa na deni la umeme then wapangaji wakilipia kwa LUKU hawapati Units stahiki!ni namna gani mpangaji anaweza epuka hiyo hali?
Sidhani kama ingekuwa na deni mngeendelea pata umeme ila ninachofikiria ni kwamba luku yenu iko kwenye tarrif ya watumiaji wa zaidi ya unit 75 kwa mwezi hivyo ukinunua umeme mnapewa unit ndogo.

Mfano umeme wa 5000 utapata unit 14 na point hivi wakati mwenzako anapata unit 40 hivi.

Ushauri ni kupunguza matumizi yenu ya umeme kwa miezi sita mfululizo yawe chini ya unit 75 kwa mwezi kisha watembelee tanesco watawabadilishia tarrif
 
Sidhani kama ingekuwa na deni mngeendelea pata umeme ila nimachofikiria ni kwamba luku yenu iko kwenye tarrif ya watumiaji wa zaidi ya unit 75 kwa mwezi hivyo ukinunua umeme mnapewa unit ndogo.
Mfano umeme wa 5000 utapata unit 14 na point hivi wakati mwenzako anapata unit 40 hivi.
Ushauri ni kupunguza matumizi yenu ya umeme kwa miezi sita mfululizo yawe chini ya unit 75 kwa wezi kisha watembelee tanesco watawabadilishia tarrif
Unachokisema ni sahihi kabisa.tetesi ni kwamba nyumba ilikuwa na denibkabla ya kufungwa LUKU.so labda tufatilie hiyo tarrif yaweza kuwa ndo shida.
 
Nyumba kama hiyo walikuwa na deni kubwa wakati wa zile mita za analog.Baada ya kupewa mita ya luku deni nalo likahama.Hii huku kwetu tunaita mbwa kala mbwa.
 
Halafu muwe mnanuua umeme mwanzo wa mwezi tena uwe wa pesa nyingi kidogo,kwani ununuapo umeme kwa pesa ndogo ndogo unasababisha unit kupungua ama kupunguziwa
 
Sidhani kama ingekuwa na deni mngeendelea pata umeme ila ninachofikiria ni kwamba luku yenu iko kwenye tarrif ya watumiaji wa zaidi ya unit 75 kwa mwezi hivyo ukinunua umeme mnapewa unit ndogo.
Mfano umeme wa 5000 utapata unit 14 na point hivi wakati mwenzako anapata unit 40 hivi.
Ushauri ni kupunguza matumizi yenu ya umeme kwa miezi sita mfululizo yawe chini ya unit 75 kwa mwezi kisha watembelee tanesco watawabadilishia tarrif
Iko hv,wakt wa utumiaj wa mita wengi walikua hawalipi bill zao sasa baada ya mfumo wa luku kuingia yale madeni yanahamia uku,mm nilikaa nyumba inadeni 1.5m sasa kinachotokea kila unaponunua umeme wanakata nusu ya ela hiyo kulipia deni,tulikua tunaweka laki ila tunapata wa elf 50 nikawa namshikiza mzee mwenye nyumba either aongezee laki na yy ili sisi tupate umeme wa laki kamili kama matumiz yetu yalivyo au akalipe hilo deni tanesco,mwisho wa siku alikua muelewa akaenda tanesco kulipa deni lote
 
Nyumba ya kupanga..........

Ya nini kulipia watu madeni.

Ningekuwa mimi ningehama.
 
Hapa nyumbani Umeme unakatika Mara nyingi,Lakini kwa majirani tuliounganishwa kwenye nguzo moja wao Umeme unawaka. wikendi Umeme hauwaki kabisa.Nimeenda Tanesko Mara ya nne Leo wanatoa ahadi lakini hawaji kunisaidia.Hii wiki ya pili Sina umeme.niko Chato Geita.
Pole sana,tanesco wana ujinga huo sana tu.wanataka utoe hela kidogo ndio wakufuate.sasa watengenezee mazingira hayo ila washirikishe maafisa wa Takukuru ili na ww uwakomeshe.
 
Pole sana,tanesco wana ujinga huo sana tu.wanataka utoe hela kidogo ndio wakufuate.sasa watengenezee mazingira hayo ila washirikishe maafisa wa Takukuru ili na ww uwakomeshe.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO.....................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Back
Top Bottom