Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpendwa mteja shauri lako bado halijafanyiwa kazi kwa kuwa bado haujatupatia namba yako ya simu ili tuweze kupata ushahidi na kufuata taratibuNimelipia umeme hii sasa inaenda mwezi wapili na nguzo ipo ndani ya mita 30 ila sijafungiwa mpaka leo na kuna mfanyakazi wenu anaomba rushwa ya ngono ili aweze kufunga umeme kwangu tena anamuomba mke wangu na ashajulishwa na haogopi na kasema kama anataka umeme amkubalie kwanza ndio umeme uingie yupo tanesco charambe na namba yake ya simu ni hii 0712949598 na nilimrekodi maongezi yake hivi ndio utaratibu mliojiwekea hamuweki umeme bila rushwa ya ngono sasa me jumatano au alhamisi naamkia ofisini kwenu ila mjue hilo
Asante kwa majibu.. nasubiri malekezo jinsi ya kufanya ili kupata umemeMpendwa mteja
Tutakupatia ufafanuzi
Nitashkuru mkionyesha ushirikianoUtapata ufafanuzi siku za kazi
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKONi jambo la kusikitisha sana kukatika kwa umeme ijapokuwa kwa hapa Kahama imekuwa kawaida si masika wala kiangazi,umeme unakatika sana wakati wa mchana.
Leo imenishangaza kwani si kawaida kukatika umeme wakati wa sikukuu!Ni kwa nini wanatufanyia hivi hawa Tanesco Kahama?
Kama ni ukarabati wa miundombinu mbona ni kila siku wanakarabati?
Ni kweli kamanda, yaani hawa TANESCO ni kata kata kila dakikaWakaaji Wa Gongo La Mboto, Majohe, Pugu kajiungeni, chanika pamoja na Maeneo mengine ya Ukanda huo ambayo ipo wilaya ya ilala yana matatizo makubwa ya kukatiwa umeme karibu kila siku ya mungu bila taarifa yoyote. Umeme hukatwa kwa Masaa yasiyopungua Nane kila siku. Huwa tunaona ajabu sana ikitokea siku moja umeme haujakatika. Wakati Dar hii hii wenzetu wanashangaa umeme ukikatika
Mh Rais aangalie upande huu kuna jipu linahitaji alitumbue
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOWakaaji Wa Gongo La Mboto, Majohe, Pugu kajiungeni, chanika pamoja na Maeneo mengine ya Ukanda huo ambayo ipo wilaya ya ilala yana matatizo makubwa ya kukatiwa umeme karibu kila siku ya mungu bila taarifa yoyote. Umeme hukatwa kwa Masaa yasiyopungua Nane kila siku. Huwa tunaona ajabu sana ikitokea siku moja umeme haujakatika. Wakati Dar hii hii wenzetu wanashangaa umeme ukikatika
Mh Rais aangalie upande huu kuna jipu linahitaji alitumbue