Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnanichenga kunipa jibuNaulizia suala hili mbona kimya na mlisema mtashughulikia siku za kazi na hamjanipa mrejesho mpaka leo au niende makao makuu kuulizia
Wapigie TANESCO.ENEO LA OYSTERBAY HATUNA UMEME KWA ZAIDI YA MASAA 10 HADI NINAPO ANDIKA MADA HII TATIZO NINI?MWENYE TAARIFA TUJUZANE WAJAMENI
NATANGULIZA SHUKRAN
AHSANTE MKUU NIPO DORIA LA BILA KUPENDAPoleni wakuu.
DA FAIZA NIPE NAMBA ZAO MAANA NILIZO NAZO HAZIPATIKANI HEWANIWapigie TANESCO.
OYSTERBAY YA DODOMA SI USHUWANI MKUUAiseeee!!!!
Nimeshagaa na kusikitika sana
Huwa nasimuliwa huko oysterbay ndo pakishua, leo umeme umekatika?
Kweli BONGO BAHATI MBAYA
Nilitaka nishangae mana nipo hapa na sijaona umeme ukikataOYSTERBAY YA DODOMA SI USHUWANI MKUU
+255 22 219 4400DA FAIZA NIPE NAMBA ZAO MAANA NILIZO NAZO HAZIPATIKANI HEWANI
Nadhani ipo Pembezoni mwa Njia ya UDOM ukifika Makulu.... Huwa Naona Bango lake....Oyesterbay ya Dodoma, iko wapi aisee?
Tumeipokea mpendwa mteja kama ambavyo tumeonge tutaifanyia kaziTANESCO huduma zenu kwa maeneo ya Kipunguni B ni duni mno. Baada ya kukatika umeme jana (tukio linalojirudia mara kwa mara) uliporudi nyumba zote zilipata umeme isipokuwa ya kwangu, meta inawaka lakini umeme hauwaki. baada ya kwenda ofisini zenu za Magereza, wamekataa kata kata kunipa reference number kwa ahadi ya kuwa watakuja tu. kwa uwelewa wangu mdogo it is within my rights to get a reference number ya complain yangu lakini ushirikiano ulikuwa mdogo sana na mpaka dakika hii hakuna yeyote aliyekwenda.
Kwa kumbukumbu tu, tatizo kama hili liliwahi kutokea na nilipewa namba tu ambayo baada ya kuweka kwenye mita yangu ikafunguka. Ila leo nahisi natengenezewa mazingira ya kupigwa pesa kutokana na ushirikiano duni niliopewa.
kama itakuwa na msaada wowote kwenu, hii ndio meter number yangu 54130476911. Namba yangu ya simu ni 0784 416 504, Kipunguni B kata ya Kivule karibu na Kipako Maburini.
Narudia tena mna haja ya kubwa ya kutazama ofisini zenu za Magereza, huduma duni sana.
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;
1.ENEO HUSIKA
(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
2.NAMBA YA SIMU
(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)
3.KARIBU NA NINI
(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)
4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO
(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)
5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI
(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)
6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME
(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)
7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI
(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)
TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.
ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu
HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA
Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219
Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330
Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461
Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098
Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361
Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386
Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110
Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779
Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8
Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590
Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090
Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330
Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061
Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672
Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180
Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728
Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2
Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133
Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868
Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120
Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668
Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200
IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makauu.
Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;
LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO
Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani
Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO