TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tanesco nawezaje kuingia kwenye mfumo wa luku wanaotumia umeme mdogo cause consumption yangu ndogo sana,,process ni zipi..
 
Nipo mkoa wa mwanza wilaya ya misungwi juzi TANESCO wamekuja kuniwekea Huduma ya UMEME nyumbani kwangu ila cha ajabu walipoondoka nilipokuja kuchunguza namba ya mita na iliyopo kwenye card imezidiana kwa namba moja mf iliyopo kwenye meter inasomeka hivi 37154734976 na ya Card ni 37154734976 5. Sasa hapo sijajua namba sahihi ni IPI nisije kununua UMEME kumbe nanunua kupitia namba ya MTU mwingine
Mita ya kwanza ndio sahihi
 
luku : 22124473921
kiasi : 10,000
tarehe : 19/09/17
muda : around 04:00pm
simu :0687237985

naomba kutumiwa token...natanguliza shukran
 
Hivi hawa tanesco kwa nini hamleti umeme buhongwa wakati ni mjini tena ni wilaya ya nyamagana ?...ina maana gani mpaka sasa hivi sehemu ya jiji la mwanza kuna vitingoji havina umeme ?

Huku buhongwa kitongoji cha nyakagwe hakujafika umeme na mnapiga danadana kila siku mnatudanganya umeme utakuja shida ni nini? mnataka hivi taarifa zimfikie mkuu au mnatakaje naomba tanesco mwanza wanijibu tofauti na hapo niwapandie juu muone moto wake...vijiji vina umeme hapa mjini kilichowashinda ni kipi mpaka sasa umeme hatuna?
 
Hivi hawa tanesco kwa nini hamleti umeme buhongwa wakati ni mjini tena ni wilaya ya nyamagana ?...ina maana gani mpaka sasa hivi sehemu ya jiji la mwanza kuna vitingoji havina umeme ? Huku buhongwa kitongoji cha nyakagwe hakujafika umeme na mnapiga danadana kila siku mnatudanganya umeme utakuja shida ni nini? mnataka hivi taarifa zimfikie mkuu au mnatakaje naomba tanesco mwanza wanijibu tofauti na hapo niwapandie juu muone moto wake...vijiji vina umeme hapa mjini kilichowashinda ni kipi mpaka sasa umeme hatuna?
Tunaomba namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi mpendwa mteja
 
Kaimu Meneja Uhusiano Leila Muhaji yupo live katika mitandao yetu yote ya kijamii kujibu maswali na hoja mbalimbali.

Karibuni wote.
 
naomba kufaham hapa singida kuna eneo linaitwa kimpungua lipo karibu kabisa na substation kuu ya grid ya taifa chakushangaza umeme haupo ni km 2 kutoka katikati ya mji wa singida tunaomba kujua nn tatzo la kukosekana kwa umeme eneo Hilo?
 
Tumeipokea tunakupatia ufafanuzi muda mfupi ujao
 
luku : 22124473921
kiasi : 10,000
tarehe : 19/09/17
muda : around 04:00pm
simu :0687237985

naomba kutumiwa token...natanguliza shukran

umeme wako
upload_2017-9-20_9-39-25.png
 
Naomba kufahamu kwanini sijafanyiwa survey mpk leo baada ya kukamilisha hatua zote za maombi ilhali niliambiwa watakuja tarehe 13 mwezi huu lakini mpk leo hola!
 
Naomba kufahamu kwanini sijafanyiwa survey mpk leo baada ya kukamilisha hatua zote za maombi ilhali niliambiwa watakuja tarehe 13 mwezi huu lakini mpk leo hola!
Uliomba kwa jina gani mkoa na wilaya gani na namba yako ya fomu
 
tatizo langu la kurudishiwa unity zangu baada ya kubadiliwa metre na ofisi yenu ya tazara tangu mwezi wa tano mmeniambia niwape namba za luku ya zamani na mpya mbona kimya au lipo nje ya uwezo wenu?
 
tatizo langu la kurudishiwa unity zangu baada ya kubadiliwa metre na ofisi yenu ya tazara tangu mwezi wa tano mmeniambia niwape namba za luku ya zamani na mpya mbona kimya au lipo nje ya uwezo wenu?
Jina... namba ya simu na namba ya mita mkuu
 
Back
Top Bottom