TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
akha! hivi kukatiwa umeme ni tatizo?! mi sidhani kama ni tatizo
 
Tatizo raia tunashindwa kuwa waelewa.

Tuanze kueleweshana

1. Tanesco wanakupa umeme kwa bei rahisi sana ili uje ununue umeme wapate faida.

2. Unafikiri kuwa wanapokata umeme wanafaidi wao? Hapana, wanapata loss

3. Simply nikuwa Tanesco hawakati umeme makusudi, umeme hukatwa kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo matengenezo ya distribution lines, au substations etc

Hivyo jua wao wenyewe hawawezi kuzima umeme tu bila sababu ya msingi.
 
Billing account wa manyara babati anakauli mbaya sana kwa wateja na madharau, hili swala naona limekosa ufumbuzi maana kwa wakubwa wake wa kazi, mrekebisheni aache kutujibu vibaya wateja
 
Billing account wa manyara babati anakauli mbaya sana kwa wateja na madharau, hili swala naona limekosa ufumbuzi maana kwa wakubwa wake wa kazi, mrekebisheni aache kutujibu vibaya wateja
Kama boss zake wakishindwa basi nguvu ya umma itamuweza we muache tu.
 
Tanesco, Arusha (Meru) umeme unakatika kila mara hata mara 10 kwa siku na wakati mwingine tunashinda bila umeme..., je tatizo ni nini?!
 
Hivi naulizia miezi minne nguzo yetu imeoza inakaribia kuanguka nikipiga Tanesco naambiwa hamna nguzo hivi ni kweli?
 
Tulitoa humu malalamiko yetu sisi wakazi wa malamba mawili, kuhusu mradi wa nguzo Tisa
Mlituelekeza twende ofisi za Tanesco mbezi
Baada ya kufika ofisi za Tanesco mbezi
Mradi wetu unasomeka hivi
PROJECT NO 8
T 052774 ( malamba mawili)
9 LT poles
Sasa basi hapa kuna Tatizo kubwa Sana Tumeambiwa tutoe kiasi cha PESA million 2 ili zitumike kununulia waya
Inaonyesha wahusika wanahitaji rushwa ya million 2 ili mradi uweze kukamilika
Tumerudi tena kwenu Tanesco makao makuu je, hii ni Sawa?.
au Tanesco siku hizi ofisini kwenu mmeweka vishoka.
 
Tunaomba namba yako ya simu na kiasi cha makadirio ulichopewa kwa maandishi maana quotation zetu ni kwa maandishi
 
Awakutupa maandishi walikuwa wanatueleza kwa maneno hla nilkuwa ktk ofis za Tanesco mbezi,no yangu 0754294102)
 
Hapa hatujafikia swala la makadirio tulikuwa tunakumbushia mradi wetu umekwamia wapi,

Baada ya maelekezo yenu ya kwamba tuende ofisi za Tanesco mbezi
Ndio tukafika pale ofisi za Tanesco mbezi

Walichotuambia ni kwamba mradi umekwama kwa sababu ya kukosa waya

Ndio wakatuagiza kwa mdomo tutoe milion 2. Kwa ajili ya manunuzi ya waya
Sisi tukaingia wasi was ndio maana tumerudi kwenu makao makuu
Namba yangu ya SIM 0754 294 102
 
IMG_20171014_071401.jpg
 
Nguzo hizo hapo site
Zina miezi takribani 4 zimelalachini eti Tanesco awana waya? hivi kweli shirika kubwa kama la Tenesco likose vitendea kazi ususani waya
au ndio hii mipango ya kudaiwa pesa kwa njia ya mdomo na wala sio maandishi.
 
Awakutupa maandishi walikuwa wanatueleza kwa maneno hla nilkuwa ktk ofis za Tanesco mbezi,no yangu 0754294102)
Hawo ni matepeli na hawahusiki na huduma za Tanesco fika ofisini kama kuna gharama utapewa kwa maanishi ukalipe kisha unapewa risit
 
TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA.

NDUGU WAPENDWA WATEJA WETU MNAOTOA TAARIFA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII TUNAWAOMBA MZINGATIE YAFUATAYO ILI KURAHISISHA UFAFANUZI NA UFUMBUZI WA TATIZO AU TAARIFA HUSIKA

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
 
Hapa hatujafikia swala la makadirio tulikuwa tunakumbushia mradi wetu umekwamia wapi,
Baada ya maelekezo yenu ya kwamba tuende ofisi za Tanesco mbezi
Ndio tukafika pale ofisi za Tanesco mbezi
Walichotuambia ni kwamba mradi umekwama kwa sababu ya kukosa waya
Ndio wakatuagiza kwa mdomo tutoe milion 2
Kwa ajili ya manunuzi ya waya
Sisi tukaingia wasi was ndio maana tumerudi kwenu makao makuu
Namba yangu ya SIM 0754 294 102
Th apongeza sana kwa kuuliza na kuwasihi kuwa makini kuna vishoka wanaojifanya ni awatumishi wa tanesco
 
Walio tuomba tutoe milion 2 ya kununulia waya ni watumishi wenu tanesco wapo ofsn tumepewa majibu hayo tukiwa ndani ya ofis ya manager wa miradi mbezi na tukaomba namba ya mradi wetu tukiwa tunaosoma wenyewe kwenye screen ya computer wenyewe ndo akatuandikia kwenye karatasi ambayo no 8 =T052774(malamba mawili 9 Lt poles
 
Jumatatu fika ofisi ya manager ili upate maelezo sahihi
 
Back
Top Bottom