Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatar saana mkuuNajaribu kufikiria flyover ya ubungo sijui itakuwa ya ghorofa bila umeme huko juu giza lake litakuwaje?!
Mtailaumu Tanesco bure tu, huu ni mgao wa umeme, Waziri anajua na rais anajua pia ndio maana unaona hawasemi chochoteMkuu mimi SIZOEI SHIDA...shida haizoeleki. Nimenunua umeme ili niutumie, nimelipa DSTV ili niangalie mpira kwa muda maalum sasa wakikata umeme tu wanapojisikia wananipa hasara!
Hili nalo nenooMtailaumu Tanesco bure tu, huu ni mgao wa umeme, Waziri anajua na rais anajua pia ndio maana unaona hawasemi chochote
Lazima tulaumu Tanesco ndio anaetuletea umeme, kama ni mgao watuambie. Sometimes sio mgao, unakatika nusu saa unarudi, unakatika baada ya lisaa unarudi dakika 20 zijazo, huo si mgao.Mtailaumu Tanesco bure tu, huu ni mgao wa umeme, Waziri anajua na rais anajua pia ndio maana unaona hawasemi chochote
Cc TANESCOHalafu kuna litangazo la Tanesco hapo juu!
Ha ha ha ha ha haTTCL [emoji23]
Nlinunua line yao nikiweka simu chin net inapotea