TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kila Mwanza haswa maeneo ya mkuyuni, Nyegezi mpk misungwi, Umeme mnakata! Kwann lakini? Mbaya zaidi hakuna taarifa yyte ! Au prof muhongo aliondoka na utaalamu wake pale Tanesco, kitu ambacho mmeshindwa kupata sahihi wa kutibu suala hili?

Chukueni hatua bwana, mnatuboa sana wakazi wa Mwanza!
 
Hivi Tanesco MNA shida gani Mwanza ? Kila siku mnatukatia Umeme ! Acheni hizo buan!
 
Jamani hili shirika ukifuatilia visa vyake kama mtanzania unaweza badili uraia na mdini utabadili dini yako lina vutuko vya ajabu ambavo havistaili kufanywa

Halina kheri yoyote zaid kuharibia nchi kwa manufaa wa wachache
 
M sijakuelewa hapo! Mbn tukienda kwenye ofs zenu huwa mnatuambia tulipie 337000 ya nguzo? Kwann Leo unakataa tena ? Au hiyo pesa huwaga n ya kaz gani?
 
Mtailaumu Tanesco bure tu, huu ni mgao wa umeme, Waziri anajua na rais anajua pia ndio maana unaona hawasemi chochote
Lazima tulaumu Tanesco ndio anaetuletea umeme, kama ni mgao watuambie. Sometimes sio mgao, unakatika nusu saa unarudi, unakatika baada ya lisaa unarudi dakika 20 zijazo, huo si mgao.

Umeme unakatika na kuwaka mara nne kwa saa!
 
Halafu wanaguzuga kuwa hakuna mgao!! Tanesco imefeli kitambo sana sielewi kwa nini rais halivunji hili shirika!!
 
Mimi kero yangu kubwa dawasco niliwekewa meter 2010 nilipata maji miezi miwili mpaka Leo miaka 7 sijawahi ona maji nasubiri waje na bill zao nakata kichwa cha mtu
 
Labda ungeuliza taasisi yenye unafuu maana zote mbovu
 
Back
Top Bottom