TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ni lini hii huduma yenu itafika hapa, na wakati mji wa mbele ya maili 35 una umeme? Pia ni lini na tutajuaje kuwa ndo mnaleta umeme. Au sisi wananchi tufanye nini ili mlete hii huduma kwa haraka hapa maana ni shida tupu
Mbona sijibiwi
 
MAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa?

Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
 
Mnazingua washeni mitambo ya Singasinga maana mlitukana mto hamjavuka mamba
 
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
Ulivyoandika utahisi kuwa umekatwa kichwa, hiyo stiglers george utakamilika baada ya miezi mingapi? Ili tuweze kuvumilia?

Yaan kama vile unahisi kuwa ni mradi wa siku chache kias tunapaswa kuvumilia huu mgao unaendelea kututesa...mfano wake ni kama kumshindisha mtoto njaa kutwa nzima kwa kuwa tuu usiku utampikia pilau,,haitakiwi kuwa hivyo.
 
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
umeme umeshindikana ndugu..haya mambo yaliisha..waongee tu na Seth Singh..kukosekana huku umeme na hela ya kumpa Singh nadhani bora kumpa singh
 
Back
Top Bottom